@mado3747: #creatorsearchinsights #kombolela💔😪

mado3747
mado3747
Open In TikTok:
Region: US
Friday 13 June 2025 17:52:13 GMT
698708
36048
639
510

Music

Download

Comments

catarina25696
Catarina. 🕗🥰 :
kwani huyu bibi alokufa lini
2025-06-14 00:55:31
14
345wyg
🌹Wylem 😒 :
Mbona anamuomba msamaha kwani alimkoseaa 😭🥺🥺
2025-06-14 05:11:03
9
flygirl725
I'm Vee🤎 :
kweli nimeamini Mwanaume anaweza Akawa na mtu lkn asikupende
2025-06-13 19:51:35
641
meysher3
Mey🌺 :
Sikuhiz acheki mzee wa watu
2025-06-13 19:06:20
205
aggydee23
Aggy🌸 :
ila mtunzi wa hii tamthilia bigup sana🥰
2025-06-13 18:08:07
947
officalmoni
Officially MONY :
Nmechok kuwaficha mzee kikala ni babaangu 😒😂
2025-06-13 20:30:31
176
ukhtysamy3
🇹🇿💃ساميرا🇴🇲 :
sema mzee kikala alikuwa na furaha sana akiwa na bi kikala tofaut na sasa
2025-06-13 19:14:23
297
chichibelle5
Chichi.De.Princes🫰💋 :
bint msumi hampeleki hata beach baba wa watu, kaz kumletea waGeni VIZUKA TYUH😂😂
2025-06-14 10:56:12
65
fathiyah_mchenga
It's.fatheeyah 🎀 :
Hata mzee kikala anamshinda boy wangu kwa mahaba ☹️☹️☹️🤣
2025-06-13 19:58:12
97
bintisayuni44
bintisayuni44 :
Kila mtu ana mtu wake kwenye hii dunia ukimpoteza ndio utajua umuhimu wa uyo mtu
2025-06-14 02:08:18
53
graciousn04
Success collection 👠👜🛍️ :
Ulezi tu uliwashinda😂😂
2025-06-13 18:41:08
32
rey.w.far
🌸🌷rey w far 🦋🫂🙏 :
mzee kikala anakul t ugali kwa picha y samak bil D mbil uwez elew😎😎
2025-06-14 06:26:04
18
chr432
Christine :
Bi kikala aliondoka na tabasamu la mzee wetu hadi anatia huruma
2025-06-13 20:13:59
32
feyma.official
Feyma official :
Mwanaume akipata mwanamke wa hvi ata kumsalit anaona ni dhambi iso sameheka milele dah kuna wanaume wanaupendo jaman
2025-06-14 13:40:29
5
34mrs
Amayrah mideko🤪🤪 :
baba wa kuigwa na jamiii maana siwa na mwadawa wangeishi na baba angu tungekua tumemzika kwa presha 🤣
2025-06-13 21:39:24
30
dear_mama28
dear_mama28 :
Asee!! Umeupigaa mwingii apa! Kombolela for the best tamthilia❤️❤️
2025-06-13 18:17:58
67
reen.able
Reen able :
best couple in the movie 😊
2025-06-13 18:44:43
42
diva.diana01
Diva Diana :
kwan huo wimbo si mngetwambia tu nani kaimba
2025-06-16 10:56:30
6
jynesimba
JYNE SIMBA❤️🦋 :
huyu mzee apate tuzo sasa
2025-06-13 21:03:45
9
r.bell2
R bell@🤎 :
Maskini mzee kikala😭
2025-06-13 18:42:49
20
maua.de.cute
🪷🥀Miss 🦋Snowie🦋🌸 :
Kwan nalia nn 😰😥
2025-06-13 20:49:35
12
brothermo245
@brothermo245 :
maana halisii ya kuthamini wakati na kuthamini ulichonacho mana ni mara chache sana furaha kurudi mara mbili🥺💔
2025-06-14 07:43:46
6
adrephinadavid859
phinaa❤️🍫🇹🇿 :
😔 Amina alimfanya awe na fraha shida zao zilikuwa za ziada tu 🙌
2025-06-14 07:20:24
7
misskadzo3
Kadzo😻 :
next❤️
2025-06-13 18:33:55
6
.kagimbo5
Sammy😻 :
moyo wang kwa sasa sina wakumwambia wala wakusemezana nae
2025-06-14 07:24:58
4
To see more videos from user @mado3747, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About