@shekhmuhamadbachu: #shia #bado tunao

MUHAMMAD BACHU
MUHAMMAD BACHU
Open In TikTok:
Region: TZ
Saturday 14 June 2025 08:11:40 GMT
10162
191
62
46

Music

Download

Comments

fawzan614
Tufaoj_09💦💫 :
🙏🙏🙏
2026-06-17 12:41:59
0
abuuqutaybah314gmail.com
Abuu qutaybay :
KWA HAKIKA USHIA NI UKAFIR
2025-06-30 20:36:01
4
said.juma68
Truth is bitter :
Fatma bint Rasul alifariki hali ya kuwa amewakasirikia Abubakar na Omar na akafa hali ya kuwa haongei nao na kuzikwa usiku kwa siri ili watu hao wasihudhurie maziko yake....! Pole sana Mtume kwa waliomfanyia Bint yako mpendwa ambaye wewe umesema Fatma anatokana na pande lako la damu na yoyote anayemkera Fatma amekukera ww Mtume na Fatma ndiye kiongozi wa wanawake wa peponi na upo vitani na yoyote anayewapiga vita Ahalulybayt
2025-06-14 08:41:41
2
faraula0999
SAYYID :
iyo ndo kazi iliobakia kama hamjui mnachekwa
2025-06-14 18:08:15
2
mwalim570
mwalim 313 :
shekh mbon unakatkat video haziish mbon unakuw mnafiq ndg usikat video hiz
2025-06-16 06:08:53
1
rahimumahdawiya
Rahimu mahdawiya :
shkh nina wasi wasi na ww kama siyo mtoto wa zinaa wa nje ya ndoa au mtoto wa hedhi. maana siyo kwa kuwachukia mashia hvyo.
2025-06-29 19:23:38
1
officialaminisingano_92
CaptainCzo_92 :
MASHIA NI MAKAFIRI WANAOTUMIA KIVULI CHA UISLAMU KUSAMBAZA UKAFIR WAO
2025-07-05 17:05:33
1
tiktok.comvalerianking
valerian king :
🥰
2025-07-05 23:27:57
1
swaghiiru_na_jamii
swaghiiru na jamii :
Utawadanganya wengine sio sisi.. tunaelewa ninyi ni watu wa fitna, mnashindwa kuwafundisha waumini wenu itikadi zenu mnakalia fitna tu😢
2025-07-08 18:30:00
1
tijani.shabani.ti
Tijani Shabani Tijani :
hebu msikilizeni huyo shehe vizuri acheni usanii wa kimitandao
2025-06-16 21:06:36
1
saimontz595gmail.com
Mtaliban Og :
mashia sio waislam Kwan mnahagaika na nn nyie !!
2025-06-16 17:47:50
1
user48250362255551
user48250362255551 :
Huyu hata kiarabu kinampg chenga qurank haina upungufu wala mashia hawatukani hawatukani maswahaba
2025-06-15 20:41:40
1
khamis.msanifu
MSANIFU JR MSA :
Makafiri wakubwa Hawa.
2025-06-14 23:47:33
1
ahmedlouis5
DON :
Mbona mama aisha mke wa mtume anasema kuna aya za quraan zililiwa na mbuzi je unalijua hilo au unabweka tu inamana quraan haijakamilika?
2025-06-14 12:33:01
1
issa.ramadhani33
Issa Ramadhani :
hahahahaha yani ukitaka kua maarufu we waseme mashia kwaiyo jitahidi acha njaa🤪🤪🤪🤪🤪🤪🤪🤪🤪
2025-06-14 10:45:26
1
allymuawiyahmuawi
ARUMBUSHI :
MASHIA SIYO WAISLAM NDUGU WACHA KUPOTEZA NAO MUDA HAWA
2025-06-14 10:05:07
1
user1404034622367
zungu alfan :
nyie niwashez tu mpo kam wapagan
2025-06-14 08:44:36
1
mehboobfida
mehboobfida :
njaa hiyo mnatafuta umarufu tu. shehe njaa ww.
2025-07-09 13:18:18
0
kkimhang.mohammed
kkimhang Mohammed :
dah kila mnapoiponda shia ndipo inapoenea kwa kasi mno sasa ni bora mtulie tu
2025-07-10 19:50:41
0
jaffarahmed243
Jaffar Ahmed :
unatafuta jina tuh....siku hizi masheikh ili wajulikane lazma wawapige vita ma shia... je maswahiba ni miongoni mwa nguzo za dini?
2025-07-08 15:57:42
0
lbnabbas0
lbnAbbas :
Sjawah kuwaelewa mashia kabisa😅🥺🥺
2025-07-06 08:57:45
0
yahyaabubakakarsh
Yahya abubakakar sherriff :
wewe shekhe kwa wakati huu mashia wanaumuhimu mwingi wakuwatetea mapakestinia nyinyi masuni ni midomo tuu na unafik.
2025-07-02 07:23:50
0
mbarakhussein0
Mbarak Hussein AL-Fadhil :
dahh mkorogo.. hii fitna yakujichubua pia umefikia mashekhe... ama vitu vya chai?
2025-06-29 20:58:34
0
muhdy83
kitiku Tz :
kwan hujui ata mtu anaweza kuandika hayo maneno kisha akasema maneno kama hayo lkn sio mshia anajinasibisha ni mshia kwaajil ya kuuchafua ushia
2025-06-28 17:13:59
0
muhdy83
kitiku Tz :
we jamaa wa kiwahabi acha kuongea uongo w clip yenyew hujasikiliza hadi mwisho nd maana unaropoka tu hapo
2025-06-28 17:11:15
0
sajjad.ally.mshel
Sajjad Ally Mshele :
Nyie mafala tu hamna mnachokijua zaidi ya fitna, mko kisengesenge mno. Kama mnajiweza wekeni vikao vyakielimu na mada zenu hizo
2025-06-26 15:33:26
0
user7610560623928
user7610560623928 :
Aya za sura ya Ngombe zililiwa na koa asema bi Aisha.Na Omar alikuwa akizisoma sura mbili ambazo ni kama muawidhTain hazipo.Sisi shia Quran imetimia.
2025-06-21 17:40:23
0
souleymane.ibrahim5
Souleymane Ibrahim umba :
mashia sio weslamu kabisa
2025-06-20 16:14:32
0
hassan.jamaldin.ha
No name :
Kafeer ndiyo sio muslamu uliona kafiri akiswali kwa kibla anayesema mashia si waislamu huyo mwonyewe ana hamika atapata jana
2025-06-18 19:52:15
0
user35861727673627
saidkisesa77 :
nendeni mkawasaidie ndugu zenu wa damu mayahudi
2025-06-14 22:39:07
0
bricsdinar
Brics Dinardirh :
km huna kazi y kufanya enda ukave samaki huko sio kusoma wanachuoni wakizamani hawakuyaona hayo wajayaona wewe ulisoma wapinpaka ww
2025-06-14 12:17:43
0
To see more videos from user @shekhmuhamadbachu, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About