@vyakulanatiba: #creatorsearchinsights #acid#acidreflux #vidondavyatumbo #gesitumboni#vidondavyatumbo#US #U.S.A#australia #kenyantiktok🇰🇪 #congo #usatiktok🇺🇸

VYAKULA_NA_TIBA
VYAKULA_NA_TIBA
Open In TikTok:
Region: TZ
Saturday 14 June 2025 12:05:12 GMT
157853
5395
574
1158

Music

Download

Comments

geraldaugustino41
gerad2004 :
kwanini mnaweka wazung
2025-06-15 20:55:37
6
its.vee623
IT'S VEE :
uko wapi mm napitia hizo changamoto naomba nisaidia
2026-06-07 07:10:06
0
steve.gtz
Steve gtz :
inshu ilinitesa sana Hyo huu ugonjwa usikie Kwa mwenzio nikimaliza pesa mahospitali na Kwa waganga nimekuja kupona na Dawa ambayo hata cjategemea Ila duuuuuuuh nilishatoa hadi wosia Kwa familia
2025-06-17 12:11:37
6
nawianuru4
nawianuru :
ni sh, ngapi kaka na uko wapi mimi nipo bukoba
2025-06-15 06:52:02
4
lisa.didas.lisa
Lisa Didas Lisa :
unapatikans wapi
2025-07-13 18:32:35
1
hannahwacera36
a :
nataka iyo dawa
2025-06-15 06:07:10
1
bs.4722
B££S 47 :
nitumie namba
2026-01-18 16:51:23
1
mwanarusi.mwachib
Daush 002 :
mm nimetibiwa H pylori mpaka mwisho nikaambiwa NI chronic hiv naumwa Tu sijielei
2025-06-21 19:35:23
2
lucy.tz7
Lucy tz :
doctor mimi nina acidi reflax dawa unauzaje?
2025-06-15 06:39:01
1
user6117335884934
Louise Amisi :
gani mimi nateseka sana naiyi hali
2025-06-19 07:41:09
1
glorymichael152
@glorymichael152 :
Nakubali sana .. asante mnooo sasa nimejua ukwel
2025-06-14 19:29:27
2
brahimflex
Brahim Flex :
Sasa docta sisi tuliko Congo? Tuta fanya je?
2025-06-18 17:01:10
0
eunicechengula42
Cute Debby OG :
Daktari acid ikizidi unaweza kuwa unakonda sana mwili unaisha tu?
2025-07-07 14:39:42
0
goldenqueen611
Golden Queen :
naomba hio dawa shingapi Niko holili
2025-06-18 22:06:35
0
mrmotajiri
Mr Possible :
Ilinikuta hiyo usiombe nilipimwa vitu vyote nipo sawa ila naumwa silali mwishoe nikapona
2025-06-15 05:13:03
5
irene.mukhwana
Irene Mukhwana :
uko wapi
2025-06-15 18:23:57
0
greace.wilibati
Grace 👑 :
nina shida ya kutopata usingizi
2025-06-16 06:30:29
0
doreenmaingi165
Doreen Maingi :
tukupate wapi
2025-06-16 19:38:04
0
anikija
Jamaica :
nina changamoto ya tumbo kujaa nikila kidogo nahisi kushiba sana
2025-07-15 05:55:34
0
officialzenabate
Zena Bate :
inapatikana wapi nataka
2025-06-17 04:14:41
0
elizabeth.mwamben2
Elizabeth Mwambene :
nipo mbeya napataje
2025-07-16 08:12:12
1
pilly8709
Pilly87 :
Dokta mimi dalili zote hizo nnazo, tena nahisi njaa kila wakati, na pia nikila vyakula aina nyingi nikila naskia kifua kinabana, naomba nisaidie
2025-06-15 08:55:47
4
catherine.cathy250
Catherine cathy :
uko wapi
2025-06-16 07:34:19
0
naomizefania
mama la pwani :
nataka hiyo dawa
2025-07-23 04:22:00
0
verofulaha
Vero Fulaha :
yani kama unaniambiya mimi
2025-06-17 20:09:57
0
To see more videos from user @vyakulanatiba, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About