@sampromomedia: Aliyekuwa Mchezaji wa Brazil Roberto Carlos mashuti kwake ni kati ya mambo yaliyompatia umaarufu mkubwa duniani, hasa kwa uwezo wake wa kupiga mashuti ya nguvu sana, yenye kasi na mwelekeo usiotabirika. Roberto Carlos alipiga mashuti kwa nguvu ya kipekee mara nyingi mpira uliondoka mguuni mwake ukiwa na kasi ya zaidi ya kilomita 160 kwa saa. Hii ilifanya mashuti yake kuwa hatari sana kwa makipa. Bao dhidi ya Ufaransa (1997) – katika michuano ya Tournoi de France, alipiga mpira wa adhabu kutoka mbali sana, ukapinda kwa namna ya ajabu hadi kuingia. Bao hili bado linachukuliwa kama moja ya mashuti ya kipekee zaidi kuwahi kupigwa. Unamkumbuka kwa lipi huyu mchezaji ⁉️ Sponsored by; @sifmax_beauty_parlour ( Salon Services ) @fortune_mkumbo ( Wauzaji wa Viatu & Mikoba ) Endelea kutufuatilia kupata taarifa zaidi 🙏🏽 #sampromomedia #reels #update #brazil #football #fypシ #tiktok