ila sisi wamakonde inabidi tukae chini na kiswahili tumalize tofaut zetu😂😂😂😂
2025-06-15 05:27:48
1142
nuraty 💔😔😷 :
unaesoma comment kimy kimy we nzuli we nzuli 🤣
2025-06-15 06:25:05
1078
Ujimbi Siyo Chai :
kwani Wamakonde Kunyata ndo nini aisee 🤣😂😂
2025-06-14 21:18:27
600
Honda spare tz :
SISI WAMAKONDE SIO WATANZANIA🤣🤣🤣
2025-06-15 05:01:53
133
Mustafa Malocho :
kunyata ni kutembea talatibu au nimekosea
2025-06-15 10:43:08
113
dammy :
hilo neno kunyata huwa lina maanisha nn
2025-06-15 16:53:11
5
giftny💖 :
kwani wamakonde wana ugomv gan na heruf "m" jmn....😂😂😂au kweny alphabet zao hamna M 🙌
2025-06-15 06:24:17
43
Biggy... :
hapo kwa nakukafua ndo nin maan yake 😂😂😂
2025-06-23 08:16:16
9
Gee_Essentials :
Yani unakuta pisi ya mtwara kaliiii akiongea sasa😩🙌
2025-06-14 20:18:34
11
Mr vision :
Ila wamakonde sio poa hapo bado balaa la wamwera sasa wakikutana hawa watu ni burudani hadi utasahu kwenu wenyew kuna neno letu jingine amejiimu uyo
2025-06-15 10:55:23
16
SaBriNa🖤🐼🌿 :
We nzuriiii we nzuriiiiiiiiii😂😂😂😂😂😂😂😂
2025-06-15 08:23:30
13
hellenchuks❤💦🍭 :
Nan huyo kanchokoza shangazi Jamn😹😹😹😹😹😹atamkafua
2025-06-15 19:09:51
9
Editha sabinian123 :
we nzuri ila wamakonde
2025-06-25 09:28:44
5
Suka_UoshweNywele_buree🇹🇿 :
😂😂😂😂😂 akichimama nchale akikaa nchale😂😂
2025-06-15 13:02:08
5
sweet..fälääñï......🌹🌹 :
wamekonde siyo shida zetu kama wew mmakonde gonga like
2025-06-15 19:24:08
14
besskisirani😡 :
mimi na wewe hatufanani, mm afadhali mm kdg nzuri wewe nzuri wee nzuriiii eti kito nkyiiii eenh yaaani huyuuuu eenheee ameniuziiii kamaa nn naenda kukafuaa ameniacha wangu nzuri wanguu.....wewe hatutaki mada yoyote 🤣