@real_version_memes: #real_version_memes

real_version_memes
real_version_memes
Open In TikTok:
Region: KE
Sunday 15 June 2025 09:01:05 GMT
388862
17565
1928
1604

Music

Download

Comments

delemmy17
De Lemmy🌟⚡ :
mnasahau aje ile part ya jamaa wetu akakumbuka kifo cha ndugu yake , kifo cha babake na kifo cha mamake akatokwa na wazimu wololooyaaheeeee😂😂😂😂😂😂😂
2025-06-15 17:06:40
1708
antimony34
antimony :
what the hell was "Akaanza kumguza ulolo"🤣🤣
2025-08-18 12:16:56
2
sirlodey
Sirlodey :
nani mwengine anasoma na sauti ya dj afro😂
2025-06-15 09:44:00
1300
benardo5274
Benardo :
Kwanza majina fake eti, daniel matangari, mahenja, musembi tairi, nganga nduma na maholi nguruwe takataka🤣🤣🤣
2025-06-15 09:55:33
696
gidmadcobra
Gidmad Cobra :
kuna ile ya,,mbele yake majangili,,nyuma yake masenari ,,kando yake jitu,,juu yake maninja,,wah! wha! wha! jamaa wetu taabani.. Lakini jamaa wetu ni nani,aliwaanza shashaaa a...😅😅😅😅
2025-06-15 16:10:15
669
offiicial_lewinsky2
@Official_LewisKY. :
after amesema ukaua babagu,,,ukaua mamangu,,,now you gonna koinamia🤣🤣🤣🤣
2025-06-16 05:34:06
332
ayumaah0
Dee🌹✌️ :
I've read all the comments in Dj Afro's voice 😅😅😅😅
2025-06-16 10:27:36
484
ianozeeky
Iano :
hile part ya rrrright on time jama wetu hakuingilia🤣🤣🤣
2025-07-06 23:17:23
4
qaseemkenanah254
Qaseem kenanah🇰🇪🌹 :
halafu ile part ya one day one time in one way or another lazima nitarevenge kifo cha babangu🤣🤣🤣
2025-06-15 19:16:36
342
trey_vor.ke
DR TREY254🇰🇪🇰🇪™° :
aaah alrrrrrrrrriiiiiight ,ashanta sana, ndugu dada wapenzi watazamaji, leo nawapeleka moja kwa moja adi upande wa bang-kok thigland . 😂😂
2025-06-15 21:09:09
163
it_is_whatever_right
idk🤷 :
yaani mnaeza sahau crucial part. podi podi
2025-06-15 20:15:54
188
tonyb4108
tonyB :
Ile part ya " I love you today,,I will love you tomorrow and I will lovvve you foreeever😂😂apo nikiskia na nikumbuke Sina mtu nasima tifii😂😂😂
2025-06-15 20:33:36
288
dr.asunda
THE ASUNDA💫💫💫 :
akuna part kama Ile ya alishikwa na gethinyaku akaamua kumugutha ulholho
2025-06-15 14:52:58
254
eng_tonny2
eng_tonny :
Kwanza hizi majina za kina ngangaduma, Geoffrey mutaange, kimani kimanongo 😂😂
2025-06-15 17:46:55
45
paulmusyoka2024
Paul :
Ile part ya"ya mungu ni mengi,ya kuku ni mayai,ya mwanaume ni makangari🤣🤣😂i die on the spot
2025-06-15 10:00:25
253
barbs1370
barbs :
kukupenda nilikupenda ndio sikatai,kunipenda unanipenda ndio skatai,lakini nenda I am a die anytime person😭 nenda tu katafute maisha mazuri😭ninaweza nikaiaga dunia anytime soon mpenzi wangu😭 nenda😭😭
2025-06-16 04:52:59
104
ngina15
Ngina :
kindogo hivi tu muka wa kwerooo😂😂😂😂
2025-06-16 10:57:41
109
miss_nemo7
Miss Nemo :
kumbe nyinyi wote ni pretenders Huwa mnawatch dj afro😂😂😂
2025-06-16 12:18:38
56
shikumonic
shikumonic :
kama umesoma hizi comment na vile dj afro huwa anasema we need to be friends
2025-06-16 08:57:50
137
mamiii6499
merianbebs :
kuna day nishawai sema kwa class"once a soldier always a soldier "
2025-06-16 07:10:10
147
maina_john_17
Maina :
Kuna Ile ya "Hajui atafanya nini, wala atetenda nini"🔥
2025-06-15 09:38:17
158
o_n_g_a_r_e
️ :
nakwambia mapenzi mtazamaji kama basi unahisi kukojoa brrrrr enda Choo brrrr kama hujachukua pozi vizuri brrrr kaa standby juu kipindi cha death dragon 2 ikiwa basi ni kwenye kipindi chaaa.brrrr...lala salama saashaaaa..brrrrrr.it's a fight to the death only the strong to survivaaa brrrrrrrrrrrrrr😂😂
2025-06-16 06:57:16
55
user8518576255738
⚽Jeremy :
Cheki sydong'i 😂😂 ilikuwa inanimalo
2025-06-16 07:48:46
101
user1326212672115
user1326212672115 :
top ranking dj ranking afro aaaaa.....😎
2025-06-15 20:45:15
44
To see more videos from user @real_version_memes, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About