@officialkevo343:

OFFICIALKEVO🇰🇪
OFFICIALKEVO🇰🇪
Open In TikTok:
Region: KE
Sunday 15 June 2025 09:03:00 GMT
192355
8264
1222
1748

Music

Download

Comments

king_nesh1
Nesh :
Ukulima si mchezo. Last year nilichoma over 700k na melon During corona 2020 nilieka kuku, zikado poa. 2021 nikacheza kama mm nikaeka mingi... let me tell you maina, zikaanza baridi tukaamua tukule badala zipotelee bure,bro neighbor alikuwa anatoka anasema hawataki nyama na ata hatujawaongelesha, do you know hadi polisi walikujia 1 week wakachona, unawapigia wanakushw kijana tutakushika ww... my uncle aliacha kupitia home for 2months... alikuwa anasema tupee wagonjwa hospitali😂😂😂
2025-06-17 07:38:18
213
yusufgitongamaina
yusufgitongamaina :
mwingine alisema wao walipea mbuzi,ati Hadi mbuzi zilikuwa zinaona mamake na ngunia zinatoroka ,, zikifikilia ni cabbage anaziletea.
2025-06-16 08:36:50
385
msaniiwasanaa931
msaniiwasanaa931 :
unasema wewe mm bro ygu alitoka qatar amesave 500k akiwa na pln za kulima let me tell u maina alipada 3 acrs nazikagrow poa lkn soko hakuna akaamua kukodi Lori tujipeleke soko walai tulisuguka na hio Gari 1 whole week Mala ya mwisho tulifugua inzi walikuja kununua zisaa halibika zinanuka sema hasala ya mafuta na ngari story hikuishia hapo zile zilikua kwa samba tulipea ngombe zetu zikahuhita zikakufa tulikua hdi tunategeneza smoother ya kabege since that time bro alirudi qatar now is 8 yrs na hajawahi home
2025-06-17 12:38:46
48
meres.k
Kevoh Meres :
Kuna time mzae aliwai panda carrots then bei ikashuka to 13 bob per kg, tulikula carrots tukiwa mai mahiu tulikuwa tunaona swara mt longonot😂😂
2025-06-18 08:09:30
125
hivisasa4
hivisasa :
kuna mwenye alisema kwao walikula carrot mingi adi ukiwa kwao mai mahiu ulikuwa unaona swara ziko mt. Longonot 😂
2025-06-16 19:08:09
108
nelk03
baris.tanel🇰🇪🇰🇪 :
kuna time kuku zetu ziligonjeka ile ugonjwa ya kuskia baridi....sema kwetu kulikuwa kunakaa kfc....kuku tano kila siku jamani😂😂😂 hadi ukisweat unanuka tu nyama ya kuku
2025-06-16 09:37:14
334
julianjoroge313
kana Mueni ❤️❤️🥰 :
Kuna time mathe alipanda watermelon 1/4 acre,, wueh hazikumdissapoint,,tulikula Hadi tukanza kutapika red,,😂😂😂😂😂
2025-06-16 20:06:15
49
carolbhi
ca rol :
mimi nilifungua butchery 😢😢😢😢wacheni nilie kwanza tulikula nyama😂😂😂
2025-08-07 20:51:03
6
duanedickson2
Duane Dickson :
sisi Kuna day tulipanda tomatoes 2 acres ikakosa soko....ilikuwa tunabuy sukuma ya ten bob na nyanya tray nzima...Hadi sometimes mnakula nyanya na ugali, nyanya na chai 😂😂
2025-06-16 21:05:15
94
wardey50
Caliber 88 :
Sema sisi kuanza Biashara ya kuchoma KDF ikakosa market Sema kukula for a week mpka tungafunga Choo ilibidi tuletewe maziwa ya ngamia na family angalau tuharishe 😥
2025-06-27 13:06:23
22
comedianosumo
Smart J :
Na hizo game zimebakia CHAN wajue pahali watapeleka Sisi tunataka kutumia kiwanja yetu na crusade🤣💔🤣😭
2025-08-24 05:31:28
3
skido817
skido817 :
eiii sisi ni ngwashe yoooh💀😭😂hata sah sitaki ngwashe mimi
2025-06-16 10:44:19
10
bettiejoes
Bettie Joes :
nilichukua loan nifuge kuku ,siku moja nilipata zimekufa zote ikabaki jogoo moja ya kuniamshe nikalipe loan😂
2025-08-23 22:06:12
2
m..chepos
mariam chepos :
mtu like comment yangu please ndio ni rudi juu wee 🤣🤣🤣🤣
2025-08-17 08:02:34
3
gman.westie
Gman Westie :
wangapi wanasoma comment 💀💀
2025-06-17 10:24:28
27
ekabau
Ekabau :
Being raised in kinangop mtaelewa kwa nini I hate mawaru todate.Kama hujawahi toka shule unapata mukimo na uji huwezi elewa 🤣🤣🤣
2025-06-16 23:42:15
32
maggiegathingi
Maggie gathingi :
mwingine alisema alipanda watermelon alafu kukanyesha ati zilikua zinalipuka kama boms🤣🤣🤣
2025-06-17 19:01:27
34
user6995138312650
nimonjeri_33 :
😂😂😂😂😂aaaaah
2025-08-23 18:09:29
1
user7378817048011
Sir-me Sam :
mimi bro alinidanganya tuanze biz ya samosa,tukapika 200 tukauza nne pekee,sai naonanga kichwa yake ikikaa triangle
2025-08-21 09:34:50
6
jamktiff1
jamktiff62 :
wee kwetu n mandizi uuuuui kila sku hio ndio ilikua meal mandizi n rice na githeri na waru unabeba mandizi lunch mpaka inaturn Black kwa tin🤔😢
2025-06-16 16:04:43
13
javansobaa
javansobaa :
kuna comment natafuta concerning pawpaw farming ( ety zote ziligeuka kuwa female) and remember ilikuwa 2 acre land 🤔
2025-06-21 18:22:19
9
white_lilies.com
H_m :
I am just dying in the comments 🤣🤣🤣🤣🤣🤣aiiii people have suffered eeeiiiii....
2025-06-25 08:56:42
7
its_kibe15
MOS£S KIB£ Cazorla :
sisi uko nyandarua mathee alipanda cabbage acre 2 then zikakosa soko..... bro sisi kama vipiii hyo kijiji hatuwai shona mpira tena😂😂🤣🤣🤣tulikuwa tunaingia shamba tunatoka n cabbage ...tunaicheza kama football 🤣🤣🤣
2025-07-21 17:49:08
3
user996c
Connie muchiri :
you pple have suffered 😂😂😂😂
2025-06-28 17:04:03
5
dadanyambu
Dadanyambu :
Nakuambia nacheka naisha walai adi nakunywa maji dakika mbili then narudi ju wuueh experiences watu wakonazo na wamepitia acha tu.🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣
2025-08-15 12:46:03
1
To see more videos from user @officialkevo343, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About