@newsupdatemedia: Jeshi la Polisi Kanda Maalum ya Dar es salaam leo June 15,2025 limelazimika kutumia mabomu ya machozi kutawanya Waumini wa Kanisa la Ufufuo na Uzima (Glory Of Christ Tanzania Church) la Askofu Josephat Gwajima walioamua kuandamana wakiwa na nabango kutoka katika eneo walilokuwa wanafanya Ibada kuelekea katika Kanisa lao kwa kutumia barabara ya Morogoro. Waumini hao wamebeba mabango yanayoshinikiza Kanisa lao kufunguliwa na wakitaka wapewe haki yao ya kuabudu, mabango yameandikwa “Hatutaki utekaji” na lingine “Tunataka Haki ya Kuabudu”. #newsupdatemedia
Nguvu inayotumika kuwafukuza hao watumishi ingetumika kuwatafuta watekaji hii Tanzania ingekaa salama sana
2025-06-15 19:53:03
419
takehomestorestz :
Safi jeshi la police
2025-06-15 18:44:29
40
Samuel Eto :
gwajima muster be president
2025-06-15 18:21:25
141
Anjerina :
sijafurahishwa nilitegemea waumini wasikimbie maan wanaroh myakatifu ndani yao🤣🤣🤣🤣.
2025-06-15 16:23:33
111
Bahati mahe :
watu wanataka matatizo wenyewe mmeambiwa kanisa limefungwa af wewe unaenda kwann sibusubiri tamko kwanza jmn
2025-06-15 16:26:12
39
Eddy Katamba :
serikali Haina tatizo lolote mbona hawajaenda sehemu ingine Kwann mnaichokoza selikali alafu mnakuwa wa kwnza kulalamika? kanisa limefungwa mnajifanya ndio mnamjiu mungu peke yenu nendeni makanisa mengine
2025-06-15 16:29:15
27
kjk mtt w masharubu :
mm muislam lakini sijapenda kitendo cha kufunga kanisa why msimkamate ngwajima kanisa lina kosa gani
2025-06-16 05:04:47
39
tit 4 tat :
teargas ndio watanzania wanaita mabomu😅😅
2025-06-15 20:05:43
96
ion 🇹🇿 :
muda mwingine laia tunayatakaga wenyewe kwani ni lazima kusali hapo????? mboni makanisa yapo mengi?????
2025-06-15 20:11:20
18
Anderson Michael :
huo niusenge mnapiga watu wanao abudu mnaacha vibaka kumamae zenu wote njon mnikamate na mimi wengine hapo mmzaliwa kwamamazenu kuombea wasenge nyie
2025-06-15 18:18:46
52
🇰🇪𝐇𝖆𝖎𝖓𝖆 𝕸𝖆𝖇𝖊𝖌𝖆🔥 :
😂😂MABOMU NDIO NINI WATANZANIA 🇹🇿
2025-06-16 06:40:14
11
El_hady🇰🇪🇰🇲 :
watanzania Waoga
2025-06-16 09:20:38
11
Fettylicious 💝 :
ndugu zangu mnaona mambo kama haya mnatulia nyumban,mambo yakishakaa sawa mtaenda sasa unakuta m2 mzima unazalilishwa kwa kupigwa kama mtoto 🤨🤨🤨 hata nyumban pia unasali 2 mana mungu yupo kokote
2025-06-16 16:55:01
12
mkenya damu :
kwani akuna mawe uko
2025-06-16 15:31:22
6
Sophia Sophia :
awa polisi si wangepelekwa Kenya waone vile wangepigwa
2025-06-16 07:49:20
11
CHIPSON :
🤣🤣 ua nguruwe aoooo
2025-06-16 07:24:09
6
Amani Mapesa :
Kenya nikama Ruto anabembeleza watu aki 🤣🤣🤣🤣🤣🤣
2025-06-15 17:57:55
5
Agebom :
uonevu huu kabisa samia nchi imekushinda ,na askali nyie mtapata laana kwenye maisha yenu
mimi ni muislam ila kwa hili hapana hawaja tendewa haki hapa ndipo otaonekana sisi waislam ni wabaguz kwa sababu nchi anaiongoza muislam kwa nini asikamatwe mwenyewe gwajima kanisa likaachwa shida iko wapi jamani dah mtihani kweli
2025-06-16 20:48:36
5
Robbyass55 :
Serikali IMEKANA mbele ya Jaji kuwa haijawahi kuandika barua ya kulifungia kanisa la Gwajima, Serikali haielewi hao polisi wametumwa na nani 😂😂. Hivi, nchi hii ina Rais? atoe tamko kuwaondoa hao polisi hapo, kama sio yeye aliyewatuma😃😃
2025-06-15 16:03:34
46
user8754928617555 :
ndio maana najivunia ukatoliki wangu wenye haki na ukweli ktk taifa
2025-06-15 16:04:31
20
pangani shop 2025 :
gwajima nae amekosea yeye ni mtu wamungu akatoka kwenye dini na kwenda kwenye siasa na siasa ni mchezo mchafu ona sasa yanayo wakuta waumini hawana la
2025-06-15 19:27:35
7
Paschal Vice! :
kwan kulikuw hakuna hata mawe hapo muwapige
2025-06-15 16:26:26
10
Said Cops :
TAYARI NJOONI WAMESHA ONDOKA TUENDELEE NA UJINGA WETU HUKU 😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂
2025-06-15 19:13:23
8
To see more videos from user @newsupdatemedia, please go to the Tikwm
homepage.