usikute ntwara ndy mkoa wa mwisho kufika lugha ya kiswahili dah sema izi pis kuish naz uwe na moy shep zao kama korosho vichwa sas kam chorok😅😂😂
2025-06-15 21:43:26
93
Waridi991 :
najivunia nyumbn na popote nitapoenda cwezi kujificha kimaraba changu..naipenda lindi yangu, ndio aridhi niliolelewa❤❤❤❤❤
2025-06-16 03:59:11
56
emanuelgodbless :
Kuna makabila wanaongea vibaya jamani😂😂😂😂
2025-06-15 20:28:23
10
Technical_agro_iddi_haridi :
Dah elimu ya kuishia msingi, hawa kiboko wa naongea kama cherehani duh
2025-06-15 19:35:32
31
none🇹🇿🇴🇲🇮🇶🇰🇼 :
🤣🤣🤣ila wamakonde
2025-06-16 10:55:28
8
Caroline Mbati :
🤣😅🤣kikubwa ELIMU 🤣😅haijalish umeishia wapi
2025-06-18 09:22:22
50
mama g og :
tulioishia msingi 🤣🤣🤣🤣
2025-06-16 11:24:27
9
Christ messanger :
huyu dada nshampenda tayari
2025-06-17 06:47:35
18
ᥫ᭡__ 𝕹𝖔𝖚𝖗🧸♡︎ :
Najivunia kabila langu wallah😂❤️
2025-06-15 19:26:38
12
@ Momo Fashion :
Yani hapo sio msingi ni Nsingi 🤣😂
2025-06-16 00:16:03
6
lilian oscar :
ata kama tumeishia msingi
2025-06-17 14:52:09
7
user448163524998 :
wagen karibun ntwara 😂jamn 🥰
wanaongea kama mashine za kubangulia korosho😅😅
2025-06-20 14:32:01
7
Suzy G💓🤍 :
mimi Huwa napenda wanavyongeaga sijui kwann😂😂
2025-06-16 11:11:29
6
Benefit15Sulungi :
🤣🤣🤣🤣🤣 najivunia kuwa mmakonde wallah
2025-07-17 08:48:11
5
mama farihia :
yupo sawa
2025-06-15 18:42:18
5
bestie💪 :
hatuweze wapi shoga yangu na elimu yetu ya nsingi🤣🤣🤣🤣🤣🤣
2025-06-15 20:27:30
5
LIMAOO🍋😂 :
😂😂😂 Si wote tuna elimu ata Kama tumeishia nsingi
2025-06-15 18:45:44
7
Zuuh Sultanah 🌹 :
Sie wote tunaelim hata kama Tumenshia Nsingi🤣🤣🤣🤣🤣
2025-06-24 12:54:01
7
Aysher Mwikalo :
mtangazaji kaishia eeeeeh😂😂😂
2025-06-15 18:21:58
8
mtukukutu :
jamani tuwe makini na vitu kama ivi unaweza ukajikuta unaingia kwenye matatizo hii ndio shida ya watanzania na inatuponza Sana mtu anasoma comment yangu badala kuandika comment yake
2025-06-15 19:28:50
5
🥰Reymamy 💕 :
we nae mbona unaweka vipande vifupi unaniuzi
2025-06-16 12:17:27
6
Hp_lion98 :
Nikwel kabisa ila natoa Onyo Dem yoyot Akijalibu kusoma hii Coment yangu Atake asitake Namuoa🫵😁😁😁k
2025-07-16 06:40:09
1
To see more videos from user @viponlinemedia_tz, please go to the Tikwm
homepage.