@eddo_osborn_1: #cand #candy ##fyp #foryou #tiktok #viral #trending #explorepage #fun #videooftheday #tiktokviral #creative#tiktoktanzania🇹🇿 #kenyantiktok🇰🇪 #gospel #creatorsearchinsights

Edward _Osborn🩸
Edward _Osborn🩸
Open In TikTok:
Region: TZ
Sunday 15 June 2025 17:40:00 GMT
434109
29445
497
4549

Music

Download

Comments

zalb_charming
Zalb_charming :
sipendagi wanaopiga makofi bila kusikiliza maelekezo
2025-06-16 11:47:14
204
mum.d3
Mum.D :
mtakaloliomba Kwa babangu kupitia Kwa jina langu ,mtakipokea....hivyo ndo Yesu alisema,,wakristo jamani mbona tunapoteshwa Imani zetu tukishangilia....Yesu asema miaminini Mimi!!!
2025-06-16 08:14:25
59
freesix6
Free Six :
Chukua na hii chukua chumvi weka kwenye maji alafu fungua biblia Wafalme wa 2 (2:-20-21) sema"Kama Elisha alivyo yatakasa maji na chumvi nami nayatakasa maji aya yakawe baraka" kisha kayaoge (tupia chumvi ya mawe ndio halisi) Fanya kwa imani hakika utamtukuza Mungu
2025-06-26 03:14:14
121
fancy_clothing_arena
fancy_clothing_arena :
maombi ya mshumaa ni moja ya maombi makali mno🥺🥺wakatoliki wananielewa hapa
2025-06-20 09:37:22
144
jessbeauty4
jessbeauty4 :
🧐😳😳ooh my,,what happened to calling the blood of Jesus,,,,,mara chumvi mara mshuma mtumishi rudia Mungu haya si sawa
2025-06-16 11:14:25
9
mwlnyolal
Dr. Nyolal :
Haya ni madhara ya watu kufuata Imani kwa MANENO YA watu na hadithi za kutunga zenye kufurahisha Jiulize je! Namna yangu ya kusoma biblia na kuelewa ni sawa!? Namna Mungu alivyonitambulisha na thamani ya msalaba katika maisha yangu je naelewa!? Uganga umeingia katika nyumba za Ibada kwa sababu vijana wanataka matokeo na mafanikio ila hawataki mchakato wa kusoma neno na kuelewa.. KILA ALIYEMUAMINI YESU BWANA YESU ANASEMA MTU HUYO TAYARI NI NURU YA ULIMWENGU
2025-06-17 12:57:52
14
evancesango
Vance De Great :
zaburi 119:105 Neno lako ni taa ya miguu yangu na Mwanga wa njia zangu🙏🙏🙏
2025-06-16 11:10:03
173
babrasasha
babranicole 🤑 :
you're no longer appearing on my fyp why? best passy 🌹
2025-06-16 07:02:28
13
childofgod7774
God's Heir❤️💯 :
The mystery behind lighting a candle only catholics understand.Thank God people are getting this revelation
2025-06-16 07:41:23
66
unknownone466
user1234 :
Nayaweza mambo yote ktk yy aniyiaye nguvu🙏kwa kupigwa kwake Yesu tumekombolewa🙏Neema ya Yesu ni zaidi ya yote🙏
2025-06-16 16:33:10
16
eddo_osborn_1
Edward _Osborn🩸 :
sign and TOKEN 🥺🥺🥺
2025-06-15 17:41:18
42
esther.kiavwa
ESTHER KIAVWA :
wa rangi gani mtumishi wa Mungu
2025-06-16 07:21:21
6
tinnatanna_1
mom lee🥰 :
kwa upeo wangu mdg haya ndo maono ya makuhn inakuja out kadri Mungu anavyokuelekezana si endelevu hutokuja sikia apo wanauza mishumaaa barkiwa baba🙏
2025-06-16 07:36:15
9
user5979268479918
madame v :
Amen mungu atende sawasawa na Imani yangu
2025-06-16 06:50:13
11
mariaenock7
mariaenock7 :
Naenda tena kufanya, Neno la Mungu ni kweli nitapata na kupona.
2025-06-16 09:14:13
8
otis_otis12
Otis :
kuna namna viapo vya kishirikina waganga na makanisan vinafanana 😅
2025-06-17 05:05:07
7
anna.k6064
Anna.k :
hivi mnajuwa kama huyo jamaa yeye yupo kazini je na nyinyi mnaendaga kazini lini na maombi mnafanya kila ck Mungu amesema atabariki kazi za mikono yetu sala na kazi
2025-06-17 11:02:18
6
purity811
LA🥀BO🥀SS☘️ :
kama hii ya madukan c miref kias ko unaweza kuukata kati c ndy jmn
2025-06-16 08:30:56
9
proangeltz
ANGEL HOWARD :
Amen baba 🙏
2025-06-16 03:28:00
7
marionkeshiwangechi
Marion Keshi Wangech :
Amen 🙏🏽
2025-06-16 03:23:10
5
kadabrajoel
Kadabra Joel :
oyaaaah i niliifanya miaka ya nyuma nyumban wachawi walikua washafanya makazi oyah atali walikuja kusema wenyew asubuhi 😂😂😂🔥🔥🔥
2025-06-17 08:51:51
2
samsonmwembe49
S@mson Mk@ng@ :
NAKUPATA SANA MTUMISHI WA MUNGU, KWAKUWA MSHUMAA UTOA NURU IANAGAZAYOO SIKU ZOTE NA CHUMVI NI KIUNGO HAI KIKALI MNOO UONDOA KILA JAMBO BAYA, NA NENO L
2025-09-04 11:07:07
0
user5983586561721
Mtu wa Mungu :
kilingeee
2025-06-18 04:19:12
1
oracle07229
Oracle2013 :
Mbona hajawasha mushuma yake ikang'aa
2025-06-17 18:48:56
2
light5012
light :
ameni🙏🙏🙏🙏
2025-06-19 09:58:37
2
To see more videos from user @eddo_osborn_1, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About