Hiyo video ya mafuta, chumvi kioo iko wapy nisikie ndio nianze hiyo assignment plz pastor
2025-06-15 20:26:54
12
ruth kegome :
asante sana nilitumia maji na kioo nimeona kupona
2025-06-23 10:41:43
7
Angel Angel :
dear future husband ukishafungua malango ya ndoa kwenye kioo na yakafunguka ujue mi ndio wife wako Niko hapa ,
2025-06-18 14:27:21
7
naima :
Unaoga kioo kikiwa Bado kwenye maji au unakitoa ndipo unaoga,mtu anisaidie apa jmn
2025-07-04 15:13:08
2
sifa mk :
tulishaka fahamu izi mchezo ,ushuhuda wa uwongo ni mtu wake
2025-07-03 17:33:29
0
Binti msimamo :
hu niuganga kama uganga mwingne mtu wamungu mfate Mungu atajibu maombi yako
2025-06-17 09:55:36
5
Beatrice Michael Kimati :
Mwanangu ana tataizo la kukojoa naomba unisaidie hilo
2025-06-16 12:06:33
3
nyanda mdongo :
Mda wowote au ni mchana tu usiku haitakiwi
2025-07-10 15:20:38
1
Jack Mupenda :
est ce que nikweli?
2025-08-01 20:03:10
0
barbramicheal :
Mimi nauza mpk nachanganyikia wateja wanajaa dukan kila siku yani pesa zinakuja tuu wkt nilikuwa siuzi jaman Apostle nimefurahi saana kukujua mambo yangu sasa hivi ni 🔥 Barikiwa Sana 🙏
2025-07-02 17:15:03
2
mwamba wa Traore :
mbn mimi hakitendi miujiza kio
2025-06-15 20:09:31
4
warda 🌹 warda :
naitaji mpenzi
2025-06-17 13:38:24
4
user5804290952519 :
unavokunywa maji kioo unatoa kwenye maji au unakunywa tu
2025-07-23 16:06:42
1
Sarha Kapongo :
nimero pasteur utupatie nimero
2025-07-22 12:13:11
0
Just :
mimi amna kitu sijui tena nifanyeje tafadhali 🙏🙏
2025-07-21 13:54:36
3
queen lady official🌹 :
hicho kioo ukimaliza unakitupa? au unahifadhi then unaogea tena?
2025-06-29 19:58:08
0
Bitecha Kasongo :
amenaa
2025-06-23 05:53:54
0
maman rose :
wewe ni nabii wa kweli, Mungu akutie nguvu baba
2025-06-15 19:45:15
3
Martin Mtui :
Hakika Mungu ni mwema nimepokea mke wangu amepona tumbo