@mex.prince: Huu ndio msafara wenye ulinzi mkali zaidi duniani lifahamu Gari la raisi wa Marekani Liitwalo "THE BEAST" si gari la kawaida! #mexprince #thebeast #uspresident #tiktokeducation #securitystory #historia #storytime #historytalk #DidYouKnow #fyp #educationalcontent #virarvideo #fyppp #treandingvideo #iamback #mystory #tanzaniatiktok🇹🇿 #kenyantiktok🇰🇪 #drccongo🇨🇩 #1m #treanding #tiktokshop
𝐌𝐞𝐱 𝐩𝐫𝐢𝐧𝐜𝐞
Region: TZ
Sunday 15 June 2025 19:15:40 GMT
Music
Download
Comments
khamisona :
Kweny kila familia kunamtu mmoja atakaevunja minyororo ya umasikini mimi naomba mungu mtu huyo awe ni wewe🤲🤲kama unaamini andika amen🙏🙏
2025-06-16 14:05:40
1276
zahra girl❣️ :
tunaolindwa na mungu pekee tuje hapa
2025-06-16 08:07:41
1257
ricky :
hili gar nitakuja kununua one day 😁
2025-06-16 05:00:55
259
𝓦𝓮𝓪𝓵𝓽𝓱𝔂 𝓢𝓸𝓾𝓵🌹 :
All in All wote tutakufa🤣🤣🤣🤣👍
2025-06-16 02:41:38
187
pasco nolas :
mlinzi wa kwanza dunian ni mungu tu💪
2025-06-16 07:44:27
140
Maria Allure :
tunaomtegemeaa Mungu kwa ulinzii gongaa like hapa
2025-06-16 13:11:05
116
delvick16 :
Sio malekani bro ni marekani🤣
2025-06-16 04:54:32
17
🕸️MR.MEKA.04🕸️ :
kama una mpenda mungu na una mini yeye nizaidi yailo Gali like apa♥️
2025-06-16 17:01:44
27
Ellmas twins ⛎ :
unajua kusimulia wacha niku follow 😅
2025-06-16 08:00:59
8
shija msukuma :
yote Tisa kumi ni kwamba wote tutakufa tu
2025-06-16 17:49:50
14
Mwakamisa :
Hilo gari hamna kitu kwenye Vi eite zetu. Marekani wanajua vi eite?
2025-06-16 03:16:46
8
Tembo tours :
unaelezea vizuri saana
2025-06-16 07:29:14
12
Lil_weys.👽‼️ :
Umetisha🔥
2025-06-16 06:49:38
12
Cappuccino☕☕ :
Mke wangu mtarajiwa najua upo hapa bando la bei gani linatosha wife
2025-06-18 16:27:29
5
songelaelimorice :
kama ulinzi wa mungu haupo walindao wafanya kazi bure
2025-06-17 06:04:23
17
teddyB isack :
mbona wanaishi bila amani
2025-06-16 14:04:08
5
user13677324697587 :
unaelezea vizuri kaka
2025-06-16 12:07:04
5
flavy dcc :
san
2025-06-15 20:23:03
5
Kel.y :
wee labda niwe sijaamua😎
2025-06-16 10:08:07
5
Campbell_Me_🔥🔥❤️ :
duuh msafara wetu je?..nataka nijue
2025-06-15 20:35:25
6
Safari 1601 :
..all in all ila akapigwa chuma ya skio
2025-06-16 08:21:00
9
BARNABA :
kwahyo unataka kusemaje kuhusu msafara wa mama kizmkaz😂😂😅
2025-06-16 04:04:39
28
ephraimwekesa5 :
Putin ni number 1 bro💪. Trump ni Matako yangu
2025-06-16 03:51:36
8
Abdulrahman Said942 :
unaijua Russia ww
2025-06-17 05:31:08
6
To see more videos from user @mex.prince, please go to the Tikwm
homepage.
© 2021-2026 TikWM. All rights reserved.