@ngoma_za_zamani: Kama umeikumbuka hii ngoma plz gonga like. HardMad_Tamala #tamala #zilipendwa #zamanikamasasa🇹🇿 #zamani #muzikiwakale #tbt #zilizobamba #fpy #bongofleva

zilipendwa🎶🎧
zilipendwa🎶🎧
Open In TikTok:
Region: TZ
Sunday 15 June 2025 20:30:36 GMT
36871
953
69
83

Music

Download

Comments

dee_discountkloset
Discount Kloset :
Hii Asubuh hiyo unaenda shule unakumbuka hujafanya homework ya mathe😂😂..nyimbo inakusindikiza Radio free unaona kama unaenda jahanam😂
2026-07-17 05:40:18
1
netbymeddy
ᴍᴇᴅᴅʏ ×͜× :
Mwana Tamala Mwana nze kwagalanyo
2026-07-10 05:21:53
3
rashidkadege
Rashid Kadege :
hii ngoma inaumri mkubwa kuliko umri wa mkewangu😂😂😂
2025-06-25 13:21:06
15
yule.gal.kidoti
Yule Gal Kidoti :
huyu mika mwamba mikono yke n🔥🔥🔥🔥🔥🔥
2025-06-16 19:35:10
11
nurumfinanga
Nuru Mfinanga :
you made my day🥰..ubarikiwe
2025-06-16 14:45:37
8
gilyaraphael6
ONE IS ONE :
nilikuazangu mwanza 2004 kama mpiga debe hodari,
2025-06-16 20:21:56
5
2tru45
2tru :
this man even put luganda in this hit song 👌
2025-06-19 10:08:54
3
nanabrown_ent
nana :
mpk leo hakuna alieimba dance hall nzuri kama hardmad this guy had voice dah
2025-08-01 18:18:54
7
khaleedmuhammad62
khaleedmuhammad62 :
Mika mwamba salute 🫡 👏 🙌 🙏
2026-04-19 10:07:44
2
ramadhanhassan285
Ramadhan Hassan :
nyimbo yangu pendwa miaka yote
2025-06-16 17:51:05
3
rastonjkalonda
Raston4G :
my favorite song 🎵
2025-06-25 06:56:18
2
jasuslakinyamwezi
Jasus La Kinyamwezi :
enzi hz nkiwa mbugan napiga jembe pande za igunga
2025-06-20 18:05:13
7
mshawishi
AD Adam :
Kuna huyu af Kuna Eno mic af Kuna Ile serina la Ally com wadada waliua sanaa ila Farida alifunika wote
2025-06-19 18:39:26
4
zette340
zette :
Mika Mwamba alikuwa genius bwana 🙏
2025-12-09 12:10:18
2
tishioboy7
Tishio boy7 :
kaka kwaeshima broo umetisha🥰🥰🥰🥰🥰🥰🥰
2025-06-28 02:44:34
1
ayraali94
aziza :
mika mwamba shikamooooo watoto wa elf 2 huwez elewa utamu wa hiz Ngoma
2025-07-31 18:00:24
5
snipersking903
king 👑 Joh :
heshima kwa Mika mwamba popote alipo🔥🔥🔥
2025-07-02 18:13:54
1
user4614318507965
Doriejoh :
wimbo wangu pendwa🥰
2025-07-10 19:25:50
1
gilyaraphael6
ONE IS ONE :
dah nilikuazangu mwanza 204
2025-06-16 20:20:06
1
carlkeizzy
keizzy :
Mika Mwamba aje tena awaoneshe modern producers namna ya kuchakata beat. Mwamba beats za huzunu alitisha, bangers ndio kama hii. 🔥🔥🔥
2025-06-21 04:57:36
5
azizaswalekh
@𝑎𝑧𝑖𝑧 𝑠𝑤𝑎𝑙𝑒𝑘ℎ :
inaitwaj hii nyimbo
2026-07-17 21:59:07
0
mshilazyquality76
MSHILAZY🇶🇦🇵🇼 :
Acha niseme Ukwel mm mm chekechea ila nyumba tulikuwa tunakaa na brothers wakubwa alaf wakawa wana piga ivi vitu na mm nikajikut naijua kabisa ase the stili now nina miaka 28 mke 1watoto 2 long time ago 🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥
2026-07-17 06:14:56
0
da.lovenes
Da lovenes :
nakumbaka mbali sna huwa nikiisikiliza najikuta niko sayali nyingine kabisa na tamani miaka iludi nyuma lakini haiwezekani tena 🥰🥰🥰🥰🥰 ila ili bamba mbaya
2026-07-15 05:55:27
0
user6165280191506
menk :
mwanaaa tamalaaaa
2026-04-21 14:07:39
0
tudor.harry
Tudor Harry :
Hard mad hawezi kutoa ngoma kama hii
2025-06-30 21:25:13
0
To see more videos from user @ngoma_za_zamani, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About