@fiibusiness_guides: Vipimo 8 eggs 2 cups blueband 2 cups sugar 3 cups flour 2 tbsp baking powder 1 tbsp vannila Ikiwa unataka ya 4 eggs una punguza half half😋 #foodloverstz #malkiafoods #eastafricatiktokers🇹🇿🇺🇬🇰🇪 #goviral #cookwithme #tanzania🇹🇿 #foodtiktok #trendingvideo #marioo #viralvideos

Cooking Lover Tz
Cooking Lover Tz
Open In TikTok:
Region: TZ
Monday 16 June 2025 08:59:31 GMT
400404
8294
195
1249

Music

Download

Comments

calitha70
calitha :
unafaa kuwa mwalimu uanfundisha had mm na kichwa changu kigumu nmeelewa Asante
2025-06-17 10:08:15
14
lilian48wakota
lilianWakota :
marekebisho mengi 1. b.powder ichanganye na unga kabla ya kuichanganya kwenye mchanganyiko 2. Ni vzr kutumia Blueband ya Prestige cake inachambuka fresh na ni kwa ajili ya cake zaidi 3. sukari na prestige changanya saba kwa zaidi ya dk 15 mpk iwe nyeupe kabisaaa na ivimbe 4. weka flavour zote baada ya kuweka mayai kwenye mchanganyiko wako. cake ni vipimo kwa matokeo Zaidi mazuri
2025-06-29 21:49:50
17
user7726232300171chiter
Chiter girl :
hiyo cocoa naweza tumia ya ivory kipenzi
2025-06-21 06:01:51
5
chabyapple
chabyapple :
iyo mashine ya kuchanganyia bei gan
2025-06-17 06:40:12
2
prisca.charles45
Prisca Charles :
kwani hatuweki hamira
2025-06-17 08:27:05
1
nesscakesandbites
nestatewele :
oven yako ni ya lita ngap na ni shingapi?
2025-07-02 10:57:00
1
gizelly925
gizelly :
Kwa mara ya kwanz mwal wa cake nimepata yan na hich kichwa nimeelewa
2025-07-01 09:23:42
4
user2731307230910
Rachel Dionizi :
sorry Nini kinasaidia kuumuka Kwa keki au unaweka hamila?
2025-07-26 14:42:45
2
kataya65
Rose kilembi :
Next
2025-06-26 13:54:29
1
farshmeilyh
farshmeilyh :
Kuchoma moto ngap wa jiko?
2025-06-16 20:40:37
2
janewairimu259
Jane Wairimu :
ppf ni unga ngani
2025-06-18 18:20:48
1
mariamu37670
Mariamu :
kumbe hata usipoweka maziwa inakuwa nzur??
2025-06-17 08:04:40
1
neema.saimon3
Neema Saimon :
unaez kueka nn mbadla wa vanilla
2025-09-03 12:16:12
0
eshter.julius
Eshter Julius :
naanza kujifunza
2025-06-19 18:04:24
1
maryam.juma.mtali
maryam juma mtalimbo :
hujaweka maziwa my
2025-06-20 07:07:48
1
salma.freshjuice
Salma🧃 Fresh 🔥juice🌹❤️ :
mm Kila nikipik jmn aichambuki inatok ugal tu
2025-06-17 12:56:01
1
zenah5633
Zenah ❤️🍎 :
maelekezo yamenyooka mpaka raha 💯
2025-06-18 16:56:52
3
user9803778508106
nadia :
dad maziwa sio yamuhimu make sijayaona
2025-07-22 09:06:28
1
sheisaaliyaah
𝔸𝕒𝕝𝕚𝕪𝕒𝕙ᥫ᭡🤎 :
Tumia prestige usitumie blueband 🤦‍♀️
2025-06-16 21:51:05
0
dyneswilliam412
Dynes William :
unga gram ngap dear
2025-06-17 06:23:19
1
user2327323333754
secyi :
habal nifanyaj ili kek ijichambue sana
2025-06-17 06:49:19
1
berthalmanyanda
@bertha simba🦁💥 :
samahani lakin hauweki amira?😳
2025-09-05 17:06:26
1
nenii2630
Neni❤️🦋 :
maziwa huweki
2025-06-17 10:14:36
1
To see more videos from user @fiibusiness_guides, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About