@simbavideoshd_: ASFC 2020 Simba 4-1 Yanga #SimbaVsYangaSc #SimbaNaYanga #SimbaVideosHD

Simba Videos HD
Simba Videos HD
Open In TikTok:
Region: TZ
Monday 16 June 2025 09:22:18 GMT
933791
22240
224
1551

Music

Download

Comments

missree023
♥️ree💜🔐 :
lakiniii iziiii yanga hawazioniii kaziii t kujifanyaa tuliwafungaa mfululizó😂😂😂😂😂😂😂mfululizooo ya nyoko
2025-06-17 06:27:53
42
imanmwesigwa
Iman Mwesigwa :
Samahan lakn huu mpira simba ulienda wap ?????????
2025-06-17 05:02:52
11
mussamadhu
𝐦𝐮𝐬𝐬𝐚 𝐦𝐚𝐝𝐡 𝐭𝐳28 :
Yani hii Simba tukiiludisha watalia watu ubaya ubwela
2025-06-16 18:24:25
22
jhady49
Jhady :
hiki ndo mlichobakiwa nacho msipojifariji wenyewe hakuna wa Kuja kuwafariji😂😂
2025-07-02 11:10:30
13
maryamkidunda
@Maryamkidunda :
waambieni kwa sasa tumewapumzisha huu msoto utawarudia tuu
2025-06-20 07:22:17
0
kikondo.chinja6
Kikondo Chinja :
ubaya ubwela
2025-06-17 19:33:12
3
daud.mgeta4
daud mgeta :
walikula nne na hatukueka mabango
2025-08-17 11:21:44
1
mtatifikolo
Respect :
siyo kwamba simba hii ilikuwa bora sana ila n kwamba yanga hii ilikuwa ni mbovu haswa,kaz kutembeza bakuli...linganisha points za ubingwa utaelewa
2025-07-02 19:04:23
0
user406878089
#destiney :
kipindi hicho mna timu sasa mna wakimbia rihadha sio timu😂😂😂
2025-06-17 09:53:27
4
selemanmnyampanda
selemanmnyampanda :
jipeni mioyo jueni hapo mbele kuna tareh 25
2025-06-16 19:51:31
3
abasi.ally57
Abasi Ally :
ilikuwa bonge la dabi
2025-06-16 21:03:52
4
paulo.mollel352
Paulo Mollel :
hii Simba jamani ilikua ya moto kweli
2025-06-20 15:55:47
1
user5302771980098
black yem# :
nikiangalia hii Crip nasahau machungu yote ya kufungua na yanga maana sio kwahili biriani
2025-07-24 16:38:07
1
delacurzykigamboni
DELACURZY KIGAMBONI :
watu walitesek jmn waacheni tu wainjoy sahv 😅😅
2025-08-07 07:07:06
1
gzainsalim
Gm :
hii simba ilishakufa daaah
2025-07-17 13:31:19
1
josephatma
Phati :
Unyama ni mwingi sana
2025-06-17 16:07:51
1
p.makaranga
p makaranga :
hahaaa ndo mtabaki kujifaliji kwa hiii crip basi ila simbaaa ng'ooooo ng'ombeeee kabx,🤸🤸
2025-07-17 13:36:34
1
dazzo97
Dazoo :
daaah
2025-08-11 07:54:20
1
adacho.xella
adacho xella :
simba hii ilikuwa unaangalia adi roho inapenda
2025-07-25 11:29:00
1
user5502022498585
mr mpenzi :
zilipendwa izo🤣🤣🤣🤣🤣
2025-06-17 09:25:40
2
richardfredrick88
Richard Fredrick881 :
hii simba ndo ilikua ya kutupeleka mbali sijui ilishndwa wapi
2025-07-25 10:16:12
1
isackdaud8
ISACK D L 👭🌹 :
iyo ndio mara ya mwisho kufunga yanga toka sikuiyo🤣
2025-06-17 10:23:13
1
kareemzvibez27
Dj KAREEMZ 😁 VIBEZ MGWANI 27 :
hawa ni nan hawa
2025-06-24 18:30:34
1
kizurikinauagmail
[email protected] :
tuliyatesa siku hiyo mautoporo haya manina sana😂😂😂😂
2025-06-17 20:55:02
1
iamhanest
._.honest✝️ :
aah Simba mliupiga mwingi sana apa 😬
2025-06-17 15:12:53
1
To see more videos from user @simbavideoshd_, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About