@chichys__kitchen: Unaweza kupika keki 🎂🍰nzuri bila oven wala kufata chochote😍 Acha kutafuta sababu na ujaribu njia Hii Kama umependa keki 🍰yangu comment neno RECIPE ntakutumia vipimo sahihi😍 #easyrecipesathome #EasyRecipes #ticktocktanzania🇹🇿 #cookingtiktok #mwanzatiktok #mwanza #keki

Chichys__kitchen
Chichys__kitchen
Open In TikTok:
Region: TZ
Monday 16 June 2025 10:42:10 GMT
1450699
35472
1062
5111

Music

Download

Comments

annandunguru85
Mrs.r💝 :
mbn aichambuki vzr jamn
2026-05-23 11:36:13
1
trissy539
trissy❤️ :
Jaman mm nimejali imetoka ladha nzuri ilq haijachumbuka sijui nimekosea wap
2026-05-23 07:36:21
1
user4100242236615
user4100242236615 :
me language in aka kama chapati na haichambuki nausea wapi
2026-06-06 07:09:06
0
laventa6
OFFICIAL SHAKIRA💓 :
mbona mi nimefata maelekezo yote lkn chini imeganda kama ukoko jomon 😁
2025-08-27 14:56:42
20
nilham662
♧NILHAM♧ :
unga hata huu wa kupim madukan au ule wa pacti???
2026-05-24 07:44:47
1
nasra.sefu4
N saroon :
unga wa ainagani
2026-05-15 13:34:15
1
ennyntoby
ennyntoby :
baking powder vp hapo hairuhusiwi
2025-06-16 15:34:57
15
flora.joseph671
Flora Joseph :
jana yangu🤣
2026-06-01 09:21:14
0
maryam.juma.mtali
maryam juma mtalimbo :
kisha hiyo chumvi unaitumia kupikia au unaimwaga haifai tena
2025-06-20 12:11:56
14
marymaxmilian0
MamaB 🍰 :
chumvi usaidia nini plz
2025-06-16 14:07:08
37
user6105547816284
Irene 💞 :
keki inaonekana ngumu umefanya mchanganyiko wako ni mzito
2025-06-17 10:38:31
10
halimahussein3706
halimahussein❣️ :
mchanga mbichi inatosha chumvi hasara
2026-05-23 10:34:26
0
mamajosphine79
Mamajosephine❤❤💋 :
hio chumvi ni lazima
2026-04-28 13:39:36
1
vilveted
it's me.. :
kwan nkitumia mchanga kuna baya??
2025-07-19 08:47:25
7
user2599071629829
Edilicious💕❤️ :
yote kwa yote asante kwa kujibu coment unasaidia watu tunaelewa zaidi ubarikiwe dada
2025-07-19 16:06:45
18
feynar
feynar mursary :
kwa jiko la gesi je inawezan😂
2025-06-17 05:05:46
8
missanyes95
missanyes🤍🦋 :
RECIPE
2026-06-05 09:43:27
0
dcute555
Dcute :
recipe
2026-02-25 09:13:21
1
pretty23406
pretty kamomy📌❤️ :
mm namfollow ju anajibu bila maringo pia nimekupenda Kwa ajili ya Allah dada 🥰😊
2025-06-16 19:40:57
5
m255_2
m55_2 :
RECIPE
2026-01-30 18:09:04
1
angelkizito782
Angel Kizito :
huwek mafuta?
2026-05-27 20:31:39
1
momnaah12
momnaah :
vep huwezi weka amira na benking power ? au ni benking pouwah pekee?
2026-04-10 10:05:02
1
_asmah_19
Asmah :
Kama nmekosa baking powder haiwezekan kupika na ingredients nyingn au niache tu ad ntakapopata baking powder
2026-05-29 21:58:37
1
monacollection_3
Monacollection_3 :
ur the best nmejaribu na nmeweza 🥰
2026-05-20 20:08:29
1
annanason4
Annah :
Dear Moto kiasi Gani
2025-10-01 13:11:58
2
To see more videos from user @chichys__kitchen, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About