Sema kaka unajua mambo mengi Sana najiuliza umejifunza wapi maana Shule hii sijui ipo wapi na mm niende nipo tayari kaka
2025-06-16 15:16:19
10
Tracy :
ikipita siku bila kupita kwenye accaunt Yako nakua sijamaliza siku yangu vizur
2025-06-20 10:10:49
5
MASAI JANJA :
xawa
2025-06-17 19:35:15
2
hp :
nakupenda sana manyanda
2025-07-11 06:55:14
1
Summa G ubavunondo :
Sanaa brother unaongea vitu vya kiroho kabs kwa yule ambae hajui hawezi elewaila sisi ambao tunaelewa Sema hatuna sapoti tu ila hivo vitu tunavyo me kama mimi nakuomba sapoti brother
2025-06-17 08:49:37
2
user8280004105960 :
nishaangalia clip zako nyingi nikajiona vitu vingi Mim ni mchaguliwa ila Hilo darasa NAITAJI mana kila anaeongelea spitial huwa Wana nigusa sio wew Kula walimu sasa sijui naishije
2025-07-20 18:44:12
3
salim :
facts
2025-06-27 19:05:12
1
shebyclever :
sasa inakuwaje watoto had wanarogwa
2025-06-17 05:47:14
2
caiser The great Tz :
tunalifunguaje kaka naomba unisaidie
2025-06-26 15:16:01
2
Honest Kundy :
jicho la tatu
2025-07-19 05:56:10
1
boss+ :
unafundisha ushetani
2025-07-20 18:10:00
1
oboteeeansigari :
broo madini unayatowa wapi broo mbona kama unaniongerea maisha yangu broo😇😇😇😇😇😇
2025-07-21 21:11:08
1
MAHEKA :
nimekuelewa sana umenifanya niku follo
2025-07-12 17:18:31
2
lavada :
Bola kushinda mwafula wa mitusi
2025-06-29 09:56:39
1
Niki Bukuku :
kaka samahani naomba namba yako
2025-07-16 17:27:00
1
sarga :
kakachikanamba
2025-06-25 18:52:01
1
Bariki xauusd🧿 :
kujiunga na team yako inakuaje
2025-07-13 09:03:10
1
user8280004105960 :
sasa tuambie Hilo jicho la tatu tunapataje
2025-07-20 18:40:45
1
MAX MAIZO :
good 👍
2025-06-21 20:06:44
1
geemon star mg :
kaka wengine wanasema jichola3 ni ushetani
2025-07-20 10:53:01
1
@becca-glow 🌟 :
mbona kama nimeanza kukufoluu in love 😂😂😂
2025-06-16 15:03:08
2
ayubu msambaa🚛 :
manyanda ni mmoja 2 tz
2025-06-29 09:14:52
1
oscarbenedict985 :
naomba namba yako plz
2025-07-02 14:20:43
1
Abdaudi :
Naomba unifundishe nataka kujitumia mimi mwenyewe
2025-07-10 18:22:12
1
Mweusi :
Fungueni ata Chuo Tuje tujifunze Basi tulipe Ada na Sisi tujue.
2025-07-13 06:18:56
1
To see more videos from user @planetmanyanda, please go to the Tikwm
homepage.