@msemakweli_macha: Je mtu anaepunguza uzito na kitambi ni sawa kwake kula mahindi ya kuchoma!? #msemakweliafyatips #mahindi #mahindiyakuchoma #kitambi #foryou
Vyakula vyote ni sawa ila kikubwa tu unatakiwa uwe kwenye Calories deficit,,Huwezi kuishi miaka yako yote bila kula wanga(ugari,wali,n.k).....
2025-06-17 06:16:03
9
😇🙏 :
sio sawa kwasababu ni wanga ukila inatengemeza sukari mwilin
2025-06-16 21:20:22
4
Peony kudeba :
Na maziwa freshi ni sawa bila sukari
2025-08-09 18:31:13
0
mustinho9016 :
ni sawa ila sio kwa kula ucku
2025-06-16 20:05:23
1
mylove😍 Collections :
Mimi ndo niyala sasaivi na Nipo kwenye diet🤣🤣🤣🤣
2025-09-07 19:28:44
4
Mariposas :
iko sawa, it is not defined hata ile boiled
2025-06-22 20:20:01
0
Dominic_Savio The. Great. :
my favourite
2025-09-05 17:01:42
0
Sagittarius Queen♐️ :
sio sawa
2025-07-01 06:37:02
1
🇹𝔥𝔢🇧𝔞𝔯𝔫 :
Ni Sawa kabisa lakini asianze kula Mahindi zaiidi ya moja.... Mahindi huwa na both simple and complex carbohydrates..... So u can reduce complex by
2025-08-14 07:04:51
0
gloriousfortunata :
ni sawa kula kiasi
2025-06-20 23:10:02
1
Hakam :
Siyo sawa
2025-08-13 13:55:29
0
Ms_joyce :
Nishajichanganya 🤣🤣
2025-06-17 00:08:19
1
Simith :
Sio sawa
2025-06-17 06:51:39
1
Fadhili :
sio sawa
2025-06-17 03:13:38
0
Mzee wa Upendo :
siwanga
2025-07-23 21:56:02
0
SUPER COACH :
wanga unatakiwa lkn kwa kiwNgo kinachohitajika kwa matumizi ya mwili
tatizo wengi tunakula kiwango kikubwa cha wanga sawa na mkimbia marathon au mche
2025-07-08 19:40:16
0
Maria :
si sawa
2025-06-30 11:29:09
0
Dee_treats_cakes :
Jibu basi coach nisawa ama
2025-06-23 16:08:35
0
khanniebaraka8 :
Sawa wakati wote
2025-06-18 09:13:49
0
mogalla :
mtawaua watu jmn kulen 🤣🤣🤣
2025-06-19 06:31:24
0
vee🍁♥️ :
mm ndo nimekula leo ya kuchemsha leo acha nicheat tu😂
2026-02-22 13:37:55
0
Chili juma ✅️ :
sio sawa niwaga pia
2025-06-18 16:52:02
0
MITUMBA 💯 :
ebwanae sasa inamana wanga hautakiwi mwilini alafu titaishije bwana madactari saizi ni wengi sana mi naona kama hujishuhulishi na kazi mbalimbali basi usile machakula mengi maana kula na kulala ndio tatizo mahindi yanliwa tu ila kuwa bize na shuhuli za kila cku kutokuwa na muvument ndio tatizo acha soda ,pombe,vyakula qmbavyo vimeprosesiwa.kula natural food
2025-06-19 08:26:54
0
suby :
Kha!mtatuua haki,hapa tu nishayatamani
2025-06-19 08:03:32
0
penuelizayoon :
Sawa bhana😂
2025-06-17 04:52:09
0
To see more videos from user @msemakweli_macha, please go to the Tikwm
homepage.