@cocofm: "Hakuna urafiki kati ya mwanamume na mwanamke" - @marshbaby #ladhayapwani #COCOFM #unyagoni Digital Producer: @shiangalamike

COCO FM
COCO FM
Open In TikTok:
Region: KE
Monday 16 June 2025 21:15:30 GMT
499426
19875
450
6533

Music

Download

Comments

superpk254
SuperPk KE :
Ni ngumu sana to trust ladies 🥺🥺🥺💔
2025-06-17 10:15:24
33
john.kagiri0
John kagiri :
he's just my friend nakuacha asubuhi
2025-06-17 19:32:26
32
lizyheroine
Lizzy Heroine :
Weeeee ishia hapo urafiki upoo na ibilisi ajawah kupewepo huu nimwaka wa 5 sasa
2025-06-17 09:22:51
14
ramsey001.com5
Ramsey :
I used to tell mine this but niliambiwa to man up I am so insecure weee women 😂😂😂
2025-06-17 04:45:30
22
user2727456327096
user2727456327096 :
urafiki wa mwanamke na mwanaume ni sawa na kuwa na urafiki na kuku mda wowote unaweza ukamjinja!
2025-06-17 05:06:23
29
lionsayon
Colonel, his majesty 👑 :
waambie hivi ndivyo ex wangu alijipata amekula teke inje ya ndoa sahii amekonda hadi meno peke iko inje
2025-06-17 08:42:14
6
moha_kante13
꧁༼🇲 🇴 🇭 🇦⚞☪⚟🅚🅐🅝🅣🅔=❼༽꧂ :
Marsh Baby Siku Zoote🥰
2025-06-17 18:32:51
1
kismat.khadijah
Kismat Khadijah :
true👌
2025-06-23 12:24:49
1
user712228635569
lilian :
uongo sana.mmi niko na rafiki wa kiume kwa zaidi ya miaka 20
2025-06-21 13:23:35
4
user825403399706
Alex :
hekima ya MUNGU ya tosha kwa hisia Yohana14:26, 12:26.
2025-06-18 08:21:11
7
rommy.suleyman
Rommy M.G :
tutoe sanamu la posta tujenge sanamu lako💯💯
2025-06-17 20:01:23
8
hawahd_tz
HawaHD🌹🦋 :
Msinishauri sana kuhusu marafiki wa kiume mtanichanganya🙄
2025-06-17 09:48:45
2
mainamomey2
Mainamomey2 :
Urafikiiii upooo acha uwongooo kizeeee😁
2025-07-13 11:30:00
5
hidayaramadhan218
HDY 103 :
Umeongea point chukua maua yako my🥰🥰
2025-08-29 11:50:36
2
shaban.muhando
Shaban Muhando :
mwanamke anajifanya anaweza kuwa rafiki na mwanaume ila mwanaume hawezi kuwa na rafiki mwanamke kabisaa
2025-07-15 05:06:07
1
python7126
python :
huu ni ukweli kabisa mama
2025-06-20 13:44:24
2
gall3243
💕💖bby girl said :
kwa kweli unty ww mungwana sanaa
2025-06-21 17:06:28
3
elvisptcxwx9
K.E :
ladies mnaskia masikio yaskieee
2025-08-24 03:01:58
1
leithserenge
LeithSerenge :
Inawezekana bwana,, labda wewe huwezi
2025-06-18 12:29:46
1
merryi.edson
merryi edson :
upo sana tu
2025-06-27 09:14:09
0
rehema.tesha
Rehema Tesha :
hapo umefanya nisikuamini tena
2025-07-21 12:10:52
0
kababaihussein6
Mechanic life 🔩🛠️🔧🇺🇲 :
I love the show mamake
2025-08-13 06:26:33
1
am_pseudocode
Ⓐ︎Ⓜ︎ :
Mm nina wa kwangu anawasiliana Ex wake mpaka leo, nafikir leo atakuwa kampelekea mzigo.
2025-06-17 09:06:49
3
mwendwa1782
Eric :
we rafiki yangu.
2025-07-12 19:40:25
2
cute.h20
Mrs 🫂♥️ :
😂😂watoto wa elfu mbili ndio mambo yao hayo
2025-06-17 12:50:39
1
To see more videos from user @cocofm, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About