@kepherpaul: Invalid HIV Results #tiktoktanzania🇹🇿 #tiktokkenya🇰🇪 #hivpositive #syphilis #fyyyyyyyyyyyyyyyyyyy #fyp

kepher
kepher
Open In TikTok:
Region: TZ
Tuesday 17 June 2025 05:07:55 GMT
747591
9870
327
284

Music

Download

Comments

m.g.tidy
Maggie love🦋🦋 :
sipim ukimwi mpk niumwe nusu kufa
2025-06-17 10:35:34
141
madame.d387
madame d :
nili ahidi kupima ad niharishe bila kuharisha sipimi
2025-06-17 10:46:32
52
dulladulla79
Dulla Dulla :
hizi post za ukimwi mm sizipendi
2025-06-22 03:40:09
12
neyclothingstore
user61338356274 :
Nimekimbia chap kuangalia kipimo changu cha mara ya mwisho 😂😂🤣🤣
2025-06-17 17:21:19
7
babymaganga
BabyMaganga :
Inatakiwa ilete hii kitu
2025-06-17 08:40:49
49
mrs.alberto0
Mrs Alberto🥰🌹 :
mm Kuna mtu aliniletea kipimo kipo Ivo sasa nimwelewej ni mzima au mgonjwa jmn mje polepole ni best sio mpnz wangu maan uku kwenye coment unaweza ukachanganywa
2025-06-17 14:37:13
0
officialsuzie_01
Suzie💞💫 :
ukimwi na hasira ni ndugu wa damu moja rafiki yangu kwa comment hiz kaz unayoo😂😂
2025-06-17 17:04:15
27
mulanmushi
@mullannice :
na mm nipime sasa huyu mwanaume khaaaa😫
2025-06-17 20:22:13
1
abigaeli92
queen 👑👑 Elizabeth :
mtu anaanza kuharishaa baadae ya muda gani
2025-06-17 14:29:08
7
milanzfamily32904
milanzi family :
na mbona nipime kitu haina dawa na haiponi sipimi ng'oo
2025-06-18 07:33:10
2
sakinamziray
@S⚘️Mzray🦋 :
😂😂😂😂comment za waja sasa jmni kwani kosa lake nini sasa kuelimisha ama
2025-06-19 09:47:00
4
asha_aisha2
Aisha asha :
saiv 2naangali mguu vidoti vyeusi like
2025-06-17 12:53:23
16
witness.thomass
Witness ♊️ :
hapa kuna wagonjwa weng mbn wana makasiriko iviii😂
2025-06-17 14:02:18
9
kichuma.abdully
kichuma Abdully @ :
apo umempima bibi yako au Acha kuwatisha wenzio kenge wewe
2025-06-18 19:13:52
0
rahma.stcy
…… :
Vinauzwa sh ngp iv vipimo🥺🥺
2025-08-11 08:09:59
0
4697kpn
kpny4697 :
ACHA kabisa izo elim za mtandaoni we ethics unazijua ww?
2025-09-04 18:22:22
0
user339658845304
careen🔥✨♥️ :
Mbona kuhus vipimo uongo wa vipimo unakua mwing mpka tunaogopa kupima lkn mim naushuuda jaman maisha hay walitak niwe mtej wao wa vidonge 😂😂😂😂😂😂
2025-07-10 10:02:28
0
4697kpn
kpny4697 :
umeambiwa na nani kuelezea achu ujinga ww uku siyo mahara pake bwege ww
2025-09-04 18:23:52
0
magdalena.mfano
Magdalena Mfano :
Dooh!😳 Nimekimbia kuagalia kipimo chanhu🤣 Nimekuta C🙏🤲😅
2025-06-18 16:47:56
0
azilicious14
♐ :
nimepata mpenzi mpya kaniambia tukutane mahali tupime saivi niko na laini ya cm mpya kabisaa alaah🤣
2025-06-19 11:39:46
1
festus.korir2
festus korir :
I need online teaching English plz
2025-08-02 05:21:15
1
user96136167480442
Erom girl :
mim huwa nataman kupima ila majibu nisipewe🤣🤣🤣🤣
2025-07-08 19:05:24
2
lucy.clemence
Lucy Clemence :
je ikichoraa kwa c pekee
2025-06-18 18:43:03
0
user9770447697976
user9770447697976pesh salim :
mimi siwezi pima hio kitu wacha to nijishuku
2025-07-01 20:19:48
2
To see more videos from user @kepherpaul, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About