kwaiy unajipangia wewe ya kucheza ayo sawa saw na mazoez two nenda kweny MECHI alafu tuone kama utafanya hvo
2025-09-14 14:21:40
1
Dark.Soul :
nimekukubali sana ,, ila week ijayo nachukua sim nzur maana hii nilionayo ni kichom ,, ntaomba tuwe tuna piga online.. ni mzur 2022 nimechukue ubingwa pale mbeya kipind nasoma
2025-08-01 11:57:30
1
Joe Henry :
Tupe tatu gomea tafadhari
2025-09-12 17:49:01
0
Mabio tz :
Mi nataka mechi nawewe
2025-08-21 17:47:47
0
Carolina isaya :
Tunakufatilia kaka kwa makini
2025-09-05 07:15:49
0
FALLCORN :
Napenda kukumiss uo mfumo wa pasati ila siujuw kaka
2025-07-22 13:46:49
1
MTEULE ✓THE LIFE🇹🇿🇹🇿 :
wewe ninoma kiongozi
2025-08-20 20:20:26
1
@bdul166 :
wee unatisha kaka
2025-07-31 14:01:00
1
Mulneel :
🥰
2025-07-28 15:01:47
1
East of Eden Nails brands 💅 :
hatar
2025-07-23 12:39:39
1
zero kilometre :
Nimemuona Baba Mangwelele
2025-07-18 19:50:22
1
Suleyman Mussa :
🥰
2025-07-17 15:22:55
1
kamanda tweve :
cheza mbuzi kavimba fundi
2025-07-02 07:56:56
1
yassin_de_giant_Boy :
naomba tips za french au kama unajua akount zinazofundisha french
2025-06-25 11:02:22
1
Amir :
Huyu jamaa nilisikia story zake 2017 sinza noma sana nitajifunza jupitia yeye
2025-06-19 06:17:41
1
avitusfelix :
hello Mangwelele nakuona boss me tule jamaa mlokuwa mkimwita Diamond tulicheza sana pale kijiwen mbagara Kwa mbiku
2025-06-17 20:00:29
1
🍁Dorry_G🍁 :
unajua😂
2025-07-21 18:55:42
1
Mooh hassan :
Mwalimu Kuna mguu hapa wanawaigi kukaba ujauonyesha ,
2025-06-17 07:50:07
1
Pastory :
🥰
2026-02-13 05:55:25
0
double h :
🥰
2026-01-16 14:52:53
0
The Jackal :
Huna ukufunzi wowote hakuna unachojua
2025-09-12 15:48:00
0
boniface :
ukitaka kudanrod
2025-09-06 08:03:40
0
barakatadeu :
😁
2025-09-02 13:16:52
0
Allymuhammed Ally :
shemej uko vizur
2025-08-24 14:13:37
0
To see more videos from user @kingofdraft1, please go to the Tikwm
homepage.