Chukua na hii chukua chumvi weka kwenye maji alafu fungua biblia Wafalme wa 2 (2:-20-21) sema”Kama Elisha alivyo yatakasa maji na chumvi nami nayatakasa maji aya yakawe baraka” kisha kayaoge (tupia chumvi ya mawe ndio halisi) Utanishukuru badae
2025-06-20 04:24:37
730
DummA :
USIFUNDISHE SIRI MZITO ZA KTABU CHA HENOK,,SIS WAKRISTO WENGNE UMU TUNAJUA MENG UKIFUNDISHA UTAONEKANA MCHAWI ILA TU NI MATENDO KATIKA IMAN
2025-06-17 21:47:04
267
Praise17 :
This sign and token worked for me i will forever testify❤️🥰
2025-06-17 09:09:46
248
ItsJoy❤️❤️💃🏾💃🏾 :
I will never forget how sign and token did to my life ,will testify one day but I live in testimony every day ,God bless this Man of God 🙌🏼🙌🏼🙌🏼
2025-06-17 17:05:42
77
Edward _Osborn🩸 :
KAMA UJINGA VILE KUMBE ULIMWENGU WA ROHO UNAELEWA 🔥🔥🔥🔥🔥🔥🥰🥰🥰
2025-06-17 06:36:23
387
happinesssteven :
kama wachawi wanafanya hayo sisi ni zaidi yao, kwa imani na iambatane na vitendo unajitoa kifungoni kwa Jina la Yesu. asee nimeipenda hii
2025-06-17 08:11:37
330
bingo_auto_store :
sasa hapo una tofauti gani na uganga😅😅😅.......umemwamini Yesu una roho wa Mungu ndani yako hayo mapichapicha yote ya nini
2025-06-17 09:39:52
51
Jesus Christ saves :
any biblical references please?
2025-06-19 01:41:51
5
Victor :
Daa kumbe kuna vitu uwaga tunapuuza but kwangu ilikua jmos asubuhi nikafanya ivo mchana nikaitwa kwny interview nilipofika boss akasema j3 njoo job 🙏
2025-06-23 06:20:33
70
mama g :
mi naamini jina la yesu tu basi hivyo vingine apana, maji, nafuta,vioo, mishumaa,udongo, apana kwa kweli
2025-06-17 10:53:12
25
Methody :
Sijaelewa, unachimba shimo dogo kisha unaweka Jina ama unachukua mchanga kisha unaweka juu ya karatasi uloo andika jina.
2025-06-17 16:39:33
7
Queen Milly :
kama hujateseka kwa hii dunia shukuru Mungu..kinachotuskuma tufanye mambo mengine ni mapito mengi maishani
2025-06-18 18:41:23
17
ShakaZulu :
kuna siku wote mtanielewa kuwa hapo hamna mtumishi. ni motivational speaker tu
2025-06-18 16:48:53
6
user1234 :
Wafilipi4:13 nayaweza yote ktk yy anitiaye nguvu💪 Yesu ni zaidi ya yote, msalaba ndio asili yangu 🙏hayo mengine ni uganga tu
2025-06-19 08:11:40
14
Bphonesstore_ :
Sure kama ni uchawi basi yesu alikuwa mchawi namba moja
2025-06-17 11:23:26
15
Mwafulani😁 :
Kusikia tu Irene nakuita uku kweny mafanikio taar neema ya mungu imeshanifungua🙏
2025-06-18 19:41:53
122
Rosemary Mohochi :
Mimi nlikuwa katika kongamano hili yani nlifanya kama PT alivyosema asee ilileta matokea na maisha yangu yalibadilika
2025-06-18 14:03:02
70
KING :
nimeelewa na nitatenda...na nitarudi kushuhudia Amina
2025-06-17 07:30:19
73
Hurrem PN :
Hii kitu siyo ya kudharau.
nina ushuhuda wa maisha yangu kupitia hii Sign & Token, ushahidi wa miaka 4 nyuma. Mungu akubariki sana mtumishi kupitia kumbusho hili.
2025-06-20 08:17:25
8
Emmy 🛍️ :
Hii nitaenda kuifanya kijijini kwetu kitovu kilipotupwa naimani nitafufuka nitazaliwa nitakuwa mpyaa katika jina la YESU KRISTO WA NAZARETI
2025-06-21 04:11:23
15
Catherine 🧿🤍 :
naenda kufanya sasahiv
2025-06-17 10:45:28
16
Happy Daud :
hiyo ya mshumaa ilinitoa mahala
2025-06-17 11:26:45
10
Karenah❤️ :
This so powerful kwa wanao amini ulimwengu wa kiroho asante…I’m coming back with a testimony in Jesus Name 🙏🏽
2025-06-17 23:15:45
8
Waridi :
Ukisoma bibilia vizurii utajua njia zote wanazotumia wa ganga kumbe tulishafunuliwa kwenye Bibilia tatizo bibilia tumefanya vitabu vya maonyesho
2025-06-19 18:54:42
10
Neema Massawe :
Mimi nili Fanya hv kwenye udongo wa eneo nililokuwa nilishika Ile ardhi nikaisemesha nikaiambia nimechoka nataka kufanikiwa niondoke apa Kama panafaa na Kama apafai nisaidie majibu mapema nimechoka nakweli majibu yangu yalitokea mapema
2026-09-07 20:03:09
3
To see more videos from user @eddo_osborn_1, please go to the Tikwm
homepage.