@fooddiarytz: Hey besties recipe ya Leo ni Kabul rice kwa njia rahisi kabisa spices ni za @Efra_foods 🇹🇿 nmetumia cumin,kuku masala, garam masala Enjoy and pls share hii video na wengi besties kule insta ni Fooddiarytz_tz na YouTube pia pamoja na fb #yfp#yf #lunch#kabul #kabuli
Fooddiarytz
Region: US
Tuesday 17 June 2025 13:26:47 GMT
Music
Download
Comments
heart :
mchele mbona mrefu ni aina gani hiyi
2025-06-18 20:29:12
25
@@.secy. :
kuna siku nikaiga mapishi ya tiktok izo carrots kila mtu anazichagua anaweka pembeni muda wa kula😅😅😂
2025-06-18 12:57:01
327
Mama cita💕 :
zile kuku umepekeka wap
2025-06-27 10:59:43
36
cybby10 :
hellow food lovers imeenda wapi aise ebu turudishe
2025-06-18 18:25:16
15
woisso :
we jichanganye una ugeni alafu uige mapishi ya TikTok utadhalilika jotheee 😂😂🏃
2025-06-18 13:50:56
84
… :
Dhabibu?hi imekaje mahi au inasaidia kuongeza haruf nzur 😂natak kujua
2025-06-18 14:45:14
6
Zainabu Kassiba :
ndugu. yangu. chakula chako kizuri. siku nyingine. utoe kucha hizo. kwenye miguu yakuku. mpendwa
2025-06-18 16:50:26
25
ommykweli-jr :
anachemsha kuku na miguu yake🤔... kweli uchumi ni mbaya
2025-07-19 16:18:50
14
Sadillah Adam :
Siuseme tu pilau🤣🤣usiwachanganye wa bongo wa kajua kabuli ni pishi jipya kumbe ndo pilau tofaut Jina ulotumia
2025-06-19 02:12:53
4
Nashybaby :
kuna wowote kaona miguu ya kuku na kucha zake 😅😅
2025-06-19 07:59:07
6
🥰أم محمد :
nilijaribu huu wali jamaani mumewangu alinigomba sana nisimpikie tena hichi chakula🥺 sijuwi nilikosea wapi
2025-08-11 11:00:00
1
mkajiru :
Hiyo supu uimimine pembeni kwanza kuondoa vifupa vidogo vidogo halafu ndio uirudishe na kuendelea kupika
2025-06-19 12:09:07
7
@ sharrey- sofas22 :
hiyo kitu chaa unga ina color ya njano ni NN Etty sis??
2025-08-22 19:49:54
0
wenc Princess :
naogopa kichwa cha kuku hata nikigundua kimepikiwa sili😪😪😪
2025-07-22 14:47:52
1
Fauchoddy sweet cake :
Kipenz naweza fanya hiv hata kwa nyama ya ng’ombe
2025-06-19 11:32:30
1
G msangi :
kwanza ningekunywa hiyo supu kidogo ndio upishi uendelee😂
2025-06-18 17:03:26
7
kidotty.ceo :
Huo mchele mrefu mnaupendezea nini mbona hauna radha. Wa kamsamba tujuane na kyela ya zamani
2025-06-20 02:02:27
7
salmareshad553 :
mmhh mapishi mengine jamani mikarrot mikubwa mikubwa kama hivyo au wali salads 😂😂😂
2025-06-24 12:25:34
2
candy wizzy :
chochote gani tena akati kuna izo nyama za kuku apo
2025-07-04 16:00:17
4
jerry Desmond :
waauuu
2025-07-25 11:42:23
2
user1632692114805 :
ad kichwa naww mywangu😂
2025-06-25 11:49:50
1
Sabrina :
Unakula kuku Pamoja na chicken feet sikuona vizuri 😳
2025-06-25 05:41:09
1
Bibi Ruuh :
umekosea
2025-06-25 15:45:19
1
Mummy's Favourite 💝💞💖 :
Nani ameona kimuguu cha kuku 🤣😂🤣
2025-09-12 11:19:40
1
To see more videos from user @fooddiarytz, please go to the Tikwm
homepage.
© 2021-2026 TikWM. All rights reserved.