@ruwaichifarms: Farrowing crates are key for piglets survival and effective management of sows during delivery/farrowing. Despite their animal welfare concerns, they prevent the sow from accidentally crushing her piglets which is a leading cause of piglet deaths. Here are the benefits: ✅ prevent the risk of piglets being crushed ✅ facilitate better cleaning and waste removal ✅ make it easier to monitor sows and piglets during breastfeeding . . Makreti ya kuzalishia ni muhimu kwa usimamizi bora wa nguruwe wakati wa kuzaa na pia kwa ustawi wa vibwagala (nguruwe watoto). Licha ya kuwa matumizi yake yanaleta wasiwasi kuhusu ustawi wa wanyama, makreti huzuia nguruwe-mama kuwaponda watoto kwa bahati mbaya, ambacho ndio ni chanzo kikuu cha vifo vya vibwagala. Hizi ni faida zake: ✅ huzuia hatari ya vibwagala (nguruwe watoto) kupondwa na mama yao ✅ hurahisisha usafishaji na uondoaji taka bandani ✅ hurahisisha kusimamia nguruwe wakati wa kunyonyesha #pigfarming #pigfarmingafrica #ufugajiwanguruwe #ufugajinguruwe #ufugajikisasa