@avopatips: Ukikosana na baba yako jua umejifungia mbingu. #tiktok #motivation #avopa #mafanikio #tiktoktanzania🇹🇿 #tiktokkenya🇰🇪 #maisha #binadamu #mzazi #baba

Avopa tips
Avopa tips
Open In TikTok:
Region: TZ
Wednesday 18 June 2025 16:12:51 GMT
405951
17549
674
4878

Music

Download

Comments

neemamushi03
neemamushi03 :
ingekuwr hvyo waliokataliwa na bba zao wasngefanikiwa
2025-06-19 05:48:36
98
bonny007ke2
Bonny :
Uongo haki kubwa na Baraka nikutoka kwa Mama
2025-06-19 16:28:30
15
mamamwajei
Mama Mwajei :
wababa wenyewe hawawataki watoto wao,,,tufanyeje?
2025-06-19 11:03:04
16
madame.d387
madame d :
baba ni zamani usituchoshe
2025-06-19 20:30:41
8
vivianvuguza
Vivian Vuguza :
mimi sijawai una umuhimu wa baba kwa maisha yangu...baba alikua giza kwa maisha yanyu...mungu ndio anasaidia mtu
2025-06-19 06:48:30
17
jovison.juniour.jo
JOVISON JUNIOUR JOAS :
mfano baba hakujali? hakusupport kwa lolote.? labda mlevi mfano? mtoto atampendaje baba kama huyo? Nauliza lakini
2025-06-19 08:09:34
8
user2898260932223
official G :
Baba anayejitambua na mwenye upendo wa kweli hawezi hata siku Moja kutamka laana kwa mtoto wake badala yake atamuombea rehema na kumsamehe pale anapokosea, huo ndiyo upendo wa Mungu, kama alivyofanya baba wa mwana mpotevu kwenye kitabu Cha Cha Luka Mtakatifu sura ya 15
2025-06-19 17:04:42
14
catevibes2547
𝓢𝓱𝓮 𝓚𝓷𝓸𝔀𝓼 🖤 :
uzuri mungu akiamua kukubàriki hakuna wa kupinga
2025-06-19 14:02:32
5
user5337824726117
Emma :
apa anazungumziwa Baba anaewajibika kwaajili ya familia yake sio wale walioterekeza familia zao
2025-06-19 18:08:11
7
jo..moe
LEGEND :
we all agree this, but...kuna wazee wanazngua
2025-06-20 09:52:32
5
mtuflanihivi
mtuflanihivi :
katika Dunia hii ogopa sana laana atakayo kutolea mzazi wa kiume yaani (baba) wengi hawajui hili jambo neno baba Lina maana nyingi ,chanzo, muumbaji na ndio maana kwenye bibilia amefananishwa na kristo (MUNGU) ukibisw hapa 🤤 waulize kilichowakuta watoto wa yakobo(Israel) alilolitamka ndilo ilo mpaka Sasa
2025-06-19 09:28:33
6
floratesha279
FFT :
Inawezekana ila baadhi ya kinababa niwepesi sana kuwalaani watoto wao ila na Mungu nae anaangalia ikiwa yeye ndo mkosaji laana haikupat ng'o
2025-06-19 11:44:51
10
tullo_06
Tullo gram🔥 :
mimi nnavyompenda Babaangu ❤️❤️❤️
2025-06-18 16:21:04
6
user27180054737446
Mnyalu danger Tz🙏 :
kuijua laana ya baba mbaka uisome sana biblia ila kama ujaisoma unaweza jibu tu ila baba ana laana mbaya kuliko mama
2025-06-19 10:29:03
6
ugoboy165
Ugo Boy165 :
tulio jifunza kitu apa tugonge like 👍
2025-06-19 10:59:58
32
foxpapey
Diana🤍💙 :
😹pastor uongoo baraka zetu anazo Mungu mm ata simjui baba lakini sijawah pungukiwa mama angu ananiombee kila saa. Mungu ndo mwenye baraka zetu kuna wababa hawatutaki na tunasonga
2025-06-19 07:49:12
7
phiri_collection
Phiri_collection🇹🇿🇲🇼 :
nimesoma comment nyingi .wengi wao wametoa machungu walio fanyiwa na baba zao either kwa makusudi ,bahati mbaya. but baadhi tusiwalaumuu wababa zetu.ukipata nafasi jaribu kumuuliza kwa nini au kipi kimemsibu mbaka akufanyie hivyo .utajua Kuna baadhi ya baba wanapitia wakati mgumu sana kwenye kulea mbaka kunamdaa wanatamani ku move on.lakini wanashindwaa. uwenda chanzo ni maisha,au mamaa,n.k
2025-06-21 15:05:50
5
dicy401
amit :
Tusio na baba tunasikitika apa
2025-06-19 05:06:15
6
roseissa3
mariamapes :
mimi sina shida na baba hata kumsikia kabisa babaa asiyenafaida alianiacha niko na siku 1 mpka sasa Nina miaka27 aiseeeeeeeee hapana hiii chuki nimejitaidi kuachilia ila nimeshindwa
2025-06-23 19:57:50
1
tysonpnelson
tyson p. nelson :
hayo mambo aliandika mwanaume ndo mana mama anapewa uzaifu... lkn mama ananguv kuliko baba
2025-06-19 19:00:53
1
user3130339628369
Yovita michael :
muongo ww mama akitamka laana pale pale inakushika ivi ww unataka kufananisha mama na baba chezea ww aingia leba nusu afe nusu apone alafu umfananishe
2025-06-20 04:11:56
1
pendolove4
🦋pendo. ❤️ :
Sasa mbona sis tulikataliwa tukiwa watoto
2025-06-21 06:20:41
1
mariammashimi
Prisca Emma :
mi nampenda sana baba angu maana amepambana pamoja na mama angu❤️❤️mungu awape maisha marefu wazazi wangu
2025-06-20 18:48:13
4
jescarmpalala
jescarmpalala :
Baba ametelekeza mtoto ahujui chochote kuhusu mtoto huyo ni baba
2025-06-19 11:47:17
0
To see more videos from user @avopatips, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About