@afya.kinywa: Mzazi una mchango mkubwa sana kwenye afya ya mwanao ikiwemo meno, mjengee mwanao utaratibu mzuri wa kusafisha kinywa chake angalau mara mbili kwa siku kwa kutumia dawa sahihi ya meno katika kiwango sahihi na kwa namna sahihi pia na kwa mda sahihi.bila kusahau kutumia mswaki sahihi. [Kumbuka sio kila dawa ya meno ni sahihi kwa watu wote] #meno #safi #tabasamu #angavu #na #dr #mac