@ourlovestorypodcast: Kasheshe 😂😂 FULL SHOW IPO YOUTUBE 🎤: @gladness_kifaluka #LoveOrPop #NewShow #Episodes #tanzaniaversion

Our Love Story
Our Love Story
Open In TikTok:
Region: TZ
Thursday 19 June 2025 08:12:09 GMT
815848
43090
1262
643

Music

Download

Comments

.sheeran1
sheeran :
wanawake na nusu au nusu wanawake. na miguu yako utazani kishindo cha wakoma.. magoti kama sera za chauma.
2025-06-20 11:53:11
310
dina68016
Madam Dee💕 :
Anaongea kwa ustaarabu sana huyo dada mpk nimependa👌👌👌 anachamba bila nguvu
2025-06-19 08:17:15
471
h_lord4.5
Highlord :
mm siwez fika hapo ntampiga mtu
2025-06-19 10:04:10
195
yuscokabwe3
yusco kabwe :
shida mna vigimbi km mnachezea ken gold iloshuka daraj🙈
2025-06-19 11:37:08
139
.reeney
.reeney :
ila mbona kama uyo dada ana love bite shingoni 😳😳
2025-06-19 09:51:22
75
blaze__254
Blaze :
Amesema mashangazi ama Majambazi?😂😂😂😂
2025-07-17 16:14:22
23
bill_motion
N A T H A N I E L🍀 :
sasaa kama wabaya asiseme 😂😂
2025-06-21 20:30:21
11
happynesssimon8
it's happier :
ila kwanini hii our story ya bongo isiwe kama zile za mbele maana hawakosoani zaidi ya kumtia moyo yule ambae sio chaguo lake...ila mimi hawa wa pili mimi wananichosha..acheni kashfa wabongo bhn
2025-06-19 09:46:42
19
gathie_
𝙼𝚜 𝙶𝚊𝚝𝚑𝚒𝚎🐻🤎 :
huyu mdada c wa kombolela😂😂😂
2025-06-19 14:27:13
46
jeblen2
jeblen 💗 :
huyu akikuchamba lazima yakuingie maan anachamba kwa ustaraabu sana..na kulemba ila ndo amechamba hivo
2025-07-30 06:46:50
5
crismah5
LOOKSTAR COLLECTION-MBEYA :
Ukiwa kwa mbali unaona ni mishangazi ila ukifika karibu sasa ni mishangazi balaa🤣🤣
2025-06-21 11:35:06
5
rehemasaidy11
rehemasaidy11 :
lakini kila mtu ana machaguo yake
2025-06-24 14:11:02
6
gracemahona8
grace 01 :
mbona kama ni mshangazi kwake🤣🤣🤣🤣, aibuuu ukweli unauma
2025-07-05 19:24:45
6
user17653357994672
user17653357994672 :
Sema ulimpenda yy ajakupenda , maneno ya mkosaji
2025-06-23 18:26:43
5
thombariki
INVEST TANZANIA 🇹🇿🗻 :
uvivu wa kutongoza tu unafwata wanawake wa mafungu kama nyanya 😁
2025-06-19 11:34:13
7
roselove.man
Roselove Man❤❤❤ :
🤣🤣🤣🤣 me ngoja nimtetee huyu kaka hao wanawake ote hapo kaona niwakubwa kwake hata mm nikiwaangalia naona wamekomaa labda kakosea tuu kuwaita washangazi alafu ukiangalia Niwashangazi kweli na kama tunavo jua ukweli unauma
2025-06-19 11:43:03
11
leukajamavika
🦋Mhehe wa wasa🦋🎀🦋 :
🤣🤣🤣🤣ila ukweli unaumaa huyo dad ni mshanganzi
2025-06-19 09:42:25
16
naifatiomaly
fetty :
mishangazi oyeeeee
2025-06-20 05:54:01
5
sckibande
Sc,KIBANDE ✅️✍️ :
mnapatikana wapi nije nizalilike🤣🤣🤣
2025-07-03 20:40:51
10
user2327281252194
ALHANDRO VENOM :
wanawake hapendi kuambiwa ukweli😂😂kwani handsome ndio waliwa
2025-06-19 09:11:07
5
doren9907
doren :
mishangazi tuna kazi ila huyu kaka Hana uhendsame aache ushamba bhna 😂😂
2025-06-19 08:24:12
15
anordwenge
AJ :
Huyo dada ni singel mother ndy maana ana maneno mengi
2025-06-19 20:22:30
8
msomamatangazo
msomamatangazo :
Ndio ni mshangazi sie tunataka watoto wa 2004 sasa😂😂
2025-06-19 10:31:00
10
user3422441543106
liliani :
lakin kweli niwakubwa kwake
2025-06-19 08:48:01
6
bite1127
Beatrice akili :
naushamba wake nshampenda🥰
2025-06-19 08:17:21
10
To see more videos from user @ourlovestorypodcast, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About