kaka yangu anaipenda sana hii nyimbo sijui kwanii😂😂😂
2025-06-21 16:41:16
21
Kalumbaleza17 :
sas utafanyaje nikujifalij 2 na muzk
2025-06-21 11:25:29
19
Bïñ rãjab :
unajipa moyo wakat unakula na dagaa
2025-06-21 10:02:54
17
Steven Obure :
kweli kabisa nilikuwa na mchumba wangu kwa zaidi ya miaka mitatu halafu akaja kuniacha na kuolewa hii ndio ilikuwa wimbo wangu hadi baadaye nikaja kumpata mwingine na kufunga naye ndoa kabisa 😂😂😂😂😂😂
2025-06-21 16:03:23
11
Mhandisi Mesh :
Sijui kama mmetambua ukiteseka masaa hayaendi haraka haswa mchana . Huwa jua kali sana au baridi kali na mvua ili uteseke hadi ufe😢
2025-06-21 18:17:36
9
jps ESPOIR BISIMWA :
maneno ya kweli, dunia tuna pita lakini tufe katika yesu christo
2025-06-21 19:58:27
8
user Ashah tamba :
hapo mbwa ajui kama anarekodiwa
2025-06-21 13:16:26
7
Yu_reality :
Niazime huyo mbwa aje kucheza na me🤣🤣🤣🤣
2025-06-21 17:59:10
6
selemanirashidi517 :
uwe unadaiw kodi na mweny nyumb mnakaa nyumb moj😅😅😅😅
2025-06-21 11:55:11
6
Mbita Juma :
yaan nikisikia kuwa mm ni mchanga nafarijikaaa😂
2025-06-21 18:09:59
6
Tinnah :
🤣🤣🤣 maskini sisi tunapenda nyimbo zakujifariji ☺️☺️☺️
2025-06-21 13:24:52
5
Ng'etuny 🇰🇪 :
hii wimbo ilifanya nikule savings zangu ya Kununua audi😂
2025-06-21 23:14:46
5
georgouse_beauty_store :
Kwanza apo kwa binadamu n mchanga😂😂😂
2025-06-21 21:24:32
4
🦋Aziza // عزيزة" :
😂😂😂
2025-06-21 13:49:58
3
MUM MILIY :
na hapo ndio hukufii haraka utaishii maisha marefu ya kuteseka na wenzako wanaishi mzuri
2025-06-21 14:37:29
3
salym :
@Qailla Kabae
2025-06-21 14:53:41
3
Lucie :
🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣
2025-06-21 11:45:46
3
𝓜𝓲𝓼𝓼-𝓡𝓮𝓷𝓮𝓮 💙 :
baada yakumaliza salary 🤣🤣🤣🤣🤣🤣
2025-06-21 11:31:01
3
Saxo :
Utaskia tusijisahau hii ni Dunia tu, Umaskini mbaya 🤣🤣🤣
2025-06-21 16:34:33
3
priya_tz1cute :
🤣🤣Na unahisi ushamaliza 🥰
2025-06-21 14:05:21
3
user9352883407764 :
😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😳
2025-06-21 14:53:26
2
user807626028180. husna sabit :
😂😂😂😂
2025-06-21 14:42:34
2
Dionis Mdime :
😂😂
2025-06-21 14:56:48
2
saidah :
😂😂😂😂😂😂
2025-06-21 14:57:58
2
Khadija :
😂😂😂
2025-06-21 14:36:33
2
user4492024503707jasmini :
Jipe moyo😂😂😅
2025-06-21 15:08:27
2
Bigboss382 :
@Furente 🤣🤣🤣
2025-06-21 15:19:23
2
kasuku nkinda :
😂😂😂
2025-06-21 14:51:07
2
Mariam :
jamani😂😂😂
2025-06-21 15:26:30
2
Dee.sheila :
vile mambo yako ni magumu lakini ukiskia haha kanyimbo Roho yako inatulia😂
2025-06-21 14:36:45
2
yohana bahati 🇹🇿🇹🇿 :
😅😅😅😅😅😅
2025-06-21 15:28:05
2
mamkubwa 💕💕💕 :
waskia kufarijika wakati unalia na ndani kama samaki 🤣🤣🤣🤣 aah Alhamdhulilah 🤲