@mc_magoma: Vile mama aliingia na zawadi zake za upendo kwa kijana wake 🙏 . . . #sayhiii✋ #ALHAMDULILLAH🙏

mc magoma_shereheni
mc magoma_shereheni
Open In TikTok:
Region: TZ
Friday 20 June 2025 19:09:37 GMT
661312
30846
583
1088

Music

Download

Comments

user39758879686998
rachelkisese :
Wenye hatuna mama njoon hapa tufutane machozi😭😭😭
2025-06-21 11:06:39
347
user2516800000930
🥰🤣 :
wooooo nice 🥰🥰 mom ♥️♥️💕🥰🥰🥰 God bless you
2025-06-24 08:57:57
0
angel.daniel85
angel daniel :
ee mwenyezi mungu nakuomba uzidi kuwabariki mama zetu popote walipo🤲🙏
2025-06-21 05:35:22
616
manucho.2540
MANUCHO ✨ HANDSOME FRESHER MOI :
kama unaamini siku moja mamako atakuomba 1k na utanitumia 1M gonga like ❣️
2025-06-30 16:02:55
225
stestacy0
stestacy 💝💝 :
😘😘😘😘🥰🥰mungu nilindie mamangu
2025-06-22 08:24:57
75
cieeha
cieeh blessed :
makofi kwa huyo mama wapili she understood the assignment
2025-06-22 16:32:00
64
tinakasyupa2
ghurl❤️🌹 :
jmn nahis iyo siku nitalia machozi ya furaha nikimuona mama angu...Eeh Mungu nitunzie mama yangu☺️☺️☺️
2025-06-21 06:37:07
50
miss.m.a.r.i.a00
M.a.r.i.a💕💕 :
Inshallah mama yangu utashuhudia ndoa yangu💕💕 nakupenda mama yangu
2025-06-23 12:15:40
40
bintyalison
💫BintiAlison💫 :
Wenye hatuna wazazi tukae wapi 😭😭
2025-06-22 10:33:58
35
momjane5
momjane :
mwenyezi asante kwa kunilindia mama angu. Naomba uendelee kumtunza
2025-06-21 09:21:38
27
happy29697
happy 😊 :
Eee Mwenyez Mungu naomba nilindie mam yangu maan ndio furaha yangu
2025-06-21 14:24:08
24
igo82227
Igo :
hadi natamani namm siku moja
2025-06-20 20:52:48
23
joyce.andrew14
Joyce Andrew :
Ee Mungu nakushuru kwa kunipa watoto na naomba unipe umri mrefu nione mambo ya furaha kwa wanangu kama haya🙏
2025-06-22 10:53:54
15
annawanda785
penny 076143 :
Eee mwenyezi Mungu mbaliki mama yangu siku moja ashudie ndoa yangu
2025-06-21 07:03:57
15
cerilinewazerosixcounty
Ceriline Wa Zerosixc :
nikisikia hii nyimbo I break down I miss you so much mum. rip mum
2025-06-21 15:17:37
13
dullysuccy
dullysuccy :
nani kama mama❤️❤️❤️❤️I love mom
2025-06-21 05:08:15
13
agnesmghendi4
agnesmghendi :
🥰🥰🥰I pray one day I Wana make my momaaa proud,,,na sio mbali n hivi karibuni❤️❤️❤️
2025-06-22 03:44:51
12
vailethdav
vaileth :
Eee Mungu nilindie mama angu i want her to experience this happiness 🥰🥰🥰🥰🥰
2025-06-21 06:27:28
11
lastborn0961
qeen of the south :
rip mum😭😭😭 I miss you so much 15 years now seens you left me and my siblings 😭😭
2025-06-28 04:13:29
11
iffat4919
user1636954267084 :
mngu nilindie mama angu ingawa hatuna malewano nampenda sana
2025-07-03 20:11:18
10
herg05
Herg❤️🦋 :
ila tue serious mama is another level🥰♥️
2025-06-21 17:57:01
10
felister.faustine1
felister faustine :
najua mama angu ataleta wax na nitachekelea tuu ila mwananguu aniombee uzima tuu🙏
2025-06-22 19:38:40
9
user26212929857070
Es..lady :
Uyo mwenye bag mweus mbn anatangatanga
2025-06-30 06:46:59
9
fehy17
Riddah🦋 :
nakupenda mama ❤angu Allah anilindie ww
2025-07-05 10:35:50
7
jelyvineyvonne
Mreggae Mfine 💕 :
mungu nilindie mamangu mbaka itakapo fika mda wangu😊😊🙏🙏🙏🙏
2025-06-22 18:21:16
7
yaahibrah
yaah ibrah💫🌹 :
mungu nilindie mama aje nayy afurah kweny harus yngu
2025-06-29 08:08:26
6
neneeh4
Neneeh :
hayo mabeg ni ukipigwa beba vyako rud😂😂
2025-07-19 07:10:47
5
ms_didabee
ms_dida.Dee🦋 :
jamn me hii nyimbo nikisikia najikuta nalia jamn😭
2025-06-26 17:30:22
5
blacknature77roysambu
BLACK NATURE BARBERSHOP ROYSA :
Woooow ❤️❤️❤️🙏🙏🙏
2025-06-20 20:14:58
5
user6979983292887
user6979983292887 :
nakupenda huuu wimbo jamani
2025-06-21 17:56:11
5
its.ma425
❣️its Ma💝💝 :
eeee mwenyezi mungu nilindiee mama yangu
2025-06-22 16:56:48
5
halimajumanne45
Halimaty juma :
😭😭😭😭😭wenye mama hongeren sanh hata kama anamapingufu kias gan mpende hvyo hvyo kana ss tukion hv lazima machoz yatoke😌😌😌🙏
2025-07-04 12:57:10
5
catthy.maganga
Catthy Maganga :
eeeh MUNGU naomba nitunzie mamaangu maana ndo furaha yangu❤️🙏
2025-06-21 08:58:31
5
simplis.jr
simplis jr :
ila wanaume tuna tabu san, uweze kudhibiti upendo wa mama ako usiathiri ndoa na upendo wa mke usiathiri bondi yako na maza, wallah sio kitu rahisi
2025-06-21 22:31:27
4
birungirems09739
alphador 💞💞😍🥰 :
uruma yetu sie beye tume poteza maman yetu mbele Ya wakati 😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭
2025-06-29 04:21:59
4
lynebabe
Joselyne ❤️ :
Eee M.Mung nilindie mam ang 🥰🥰 sik n mm anifurahie n kunifanyia kadri jins atakavyokuw amebarikiwa🙏🙏🙏
2025-06-21 18:50:36
4
shiks.talia
shiks Talia🥰 :
wenye mama zetu walisahu kuamka 💔🥹🥹🥹🥹
2025-06-23 11:25:36
4
user96097594207201
user96097594207201 :
Ee Mwenyezi Mungu nijalie na mimi nijekuwapa zawadi za upendo watoto wangu wakamwana na wakwilima zangu
2025-06-21 17:03:15
4
dorcas.daudi
Babe g :
Ee mungu naomba huwabariki wote ambao hawana mama kama wakiume mpe mke atakae ximama kama mama kam ni wakike mpe mume atakae mjali na kumpenda mpaka haxahau yote mungu naomba usimchukue mama ang plz🙏😔
2025-06-21 15:38:43
4
user9026369340082
neema JKK :
mungu nilindie mamangu🥰
2025-07-09 10:12:27
4
niceoly
niceoly :
mwenyezi mungu walinde mama zetu 🙏
2025-07-05 14:51:18
4
furahakalekezi1
Munezero Ruvumbagu :
Hongera sana mama 🌹🌹🌹 Naomba baraka hizi zije kwangu nione wanangu wakipata wenza wao wema 💪⚖️
2025-07-14 01:39:58
3
tausi.tausioman
tupendane❤️ :
makofi mengi kwa mama🥰🥰
2025-06-24 09:48:39
3
divine.binja
divine binja :
Mungu abariki wa maman wote ili waishi myaka mingi🧎‍♀️🧎‍♀️🧎‍♀️
2025-07-19 06:43:17
3
leenwwe
🥰🥹✌️ :
comment section imejaa waliopoteza mama 😥poleni Sana ndugu na dada zangu 😭😭eeh mwenyezi mungu mlinde Sana mamangu🙏🙏🙏🙏
2025-07-02 08:04:22
3
ms.gabriel.4
mama Dee :
waoooooh naomba Mungu snipe uzima nishuhudie harusi ya my son
2025-07-02 19:04:33
3
user6932518131318
user6932518131318 :
hogela mama 😄🤣
2025-07-05 10:50:38
3
edisonkaserekakib
assiath🇨🇩🇨🇩 :
mungu nilindiye mamangu jusiku raarusi nifurai sawa mwenzetu
2025-07-04 09:47:35
3
dary4001
[email protected] :
mungu nilindie mama yang🙏🙏🙏
2025-06-28 10:41:31
2
saadat437
cherry girl❤🔐 :
munguu nilindiee mama na afy njemaa pia
2025-06-28 08:10:21
2
alice.lwihula
Alice Lwihula :
wote sina nisimame wapi😢
2025-06-22 13:54:02
2
To see more videos from user @mc_magoma, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About