@richardsimeod: #kenyantiktok #tanzaniatiktok #formychampions

Richard Simeo
Richard Simeo
Open In TikTok:
Region: TZ
Saturday 21 June 2025 07:09:56 GMT
121288
7219
763
203

Music

Download

Comments

mpembamayunga
mpembamayunga :
nilikuwa na kuheshimu we kaka kuanzi leo nakuona kama kopo
2025-06-21 11:22:50
173
abdallah929292
sircuf :
mshauri wa ndoa naye ameachwa
2025-06-21 07:59:56
64
heartoflion360
FORD 360 :
Kwan ni lazima kuishi na mwanamke😂😂😂
2025-06-21 12:04:01
26
batrethbanali
batrethbanali :
🤣🤣🤣🤣🤣huyo ndo mwanamke sasa tumekuelewa broo
2025-06-21 16:41:37
6
abdujr_phone_center
ABDUJR PHONE CENTER/ZNZ :
Dahhh hio ya Pili ni ukweli na uhalisia kabisa Mkuuu👏👏👏👏👏👏
2025-06-21 09:51:56
19
street_hyper
Freddie :
😭kaka nimeshazitumia izo mbinu zote ila hawa viumbe wagumu kuwaelewa, ila ya pili ina ukweli ndani yake
2025-06-21 17:14:17
19
mandella05
hanifah@ :
🤣🤣🤣nilidhani cm yangu jman
2025-06-21 07:50:47
17
justin.peter09
justine :
sema kaka Mimi nimekuelewa😂😂😂😂😂
2025-06-23 15:19:44
7
muuh_yp
P@pp¥ :
Yani kamaanisha tuishi nao kibubu bubu😂😅
2025-07-09 11:44:43
9
rogermondric882
Roger mondric 💚 :
😂unaweza ukadhani anazingua kumbe ndo anakupa somo kwamba mwanamke haeleweki hata kama ww mwalimu wa wanawake 😂… wao wenyew tu hawaelewani 😅😅😅✅
2025-06-21 07:42:31
18
kidoti223
REY ♈️ :
yamwisho hiyo ndio yaumuhimu zaidi🤣🤣🤣🤣
2025-06-21 12:45:28
5
innostanza
Inno_stanza :
katika vyote ilo la 3 ndo nimeelewa
2025-06-21 08:50:16
6
munadhir.n.gunguti
munadhir.N.gunguti💯 :
unatuona kama matako yako
2025-07-05 21:20:42
4
gentleman_x00
Gentleman :
nimecheka sana😁😁😁
2025-06-21 08:02:55
5
shebyydayo3
shebby dayo :
vyote vitatu mana yake huwezi kumuelewa mwanamke kamwee😂😂
2025-06-21 08:30:42
12
abdulmangi
Abdul Mangi :
Aliesikia vitu vitatu anisaidie 🥺
2025-06-21 07:47:48
7
_.rassam
Rassam😉 :
MKUU LEO UMENICHEKESHA SANA 😂
2025-06-21 09:50:35
5
heartoflion360
FORD 360 :
Aliye bubu atuambie mwenzake anatufundisha nini
2025-06-21 12:04:59
5
user4502990162183
smart boy U.S.A🇺🇲🇺🇸51 :
hiv wewe siunatuona kama matako yako au
2025-08-16 19:08:13
2
yusufhabibu405
Habibu Lyambo01 :
daaa braza ume tuzalilisha sana wanaume wenzio wenye ndevu siku tegemea kama uta fanya hivyo kwa jinsi ninavvo kuheshimu🤣🤣🤣🤣🤣
2025-07-23 11:08:15
4
twinsb5
blixdavid :
Nimekuelewa kaka UKIMYA ni jambo la maan sana🤔
2025-08-16 14:57:01
3
babrays
~Bry🔹 :
SEMA NN BRAZA TULIOSOMA QUBA TUUMEKUELEWA MWANAMKE HAELEWEKII😂😂😂😂🤣
2025-07-07 13:04:01
3
nexusboe1
NexusboeTz :
leo umetuona kama matako yako😎😎
2025-07-13 13:32:21
4
daudy1887
dior :
unajua uaniona kama matako yako
2025-06-22 09:34:53
3
shabo123
Bilia :
nimekuelewa vzr sana kaka👍👍
2025-08-09 03:21:50
3
To see more videos from user @richardsimeod, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About