😭😭😭kwann aniowe nizae ndio aniache jamn mbona maumivu nimakali
2025-06-23 04:31:53
72
rey 🇹🇿 Tz :
kwann anaruhusu kije na c changu😭😭
2025-06-25 10:38:18
7
Aura♎️🇰🇪🇺🇬🇹🇿🇴🇲🇦🇪 :
😭😭😭😭sijui kwanini Aliruhusa vije alafu mwisho wake ni maumivu makubwa tena ayavumiliki nikilio kila wakati je ni mimi pee napitia maumivu au tupo wengi 😭😭😭
2025-06-25 11:53:21
12
Yohgurljackline💜♋️ :
This song makes me to heal😭
2025-06-29 02:08:40
4
Ney Willy :
Wimbo umekuja kwa wakati sahihi
2025-06-24 06:18:43
11
phina elisha :
jina la wimbo pleas
2025-06-23 17:42:55
4
Judith Emmanuely :
ameen
2025-06-25 15:19:10
2
Neykahsweet_cakes :
Pole dear hao ndio wanaume utapoa kipenzi
2025-06-25 19:53:30
2
Hylinam💖♥️❣️♥️ :
Amen❤️❤️❤️❤️🥰🥰
2025-06-26 19:00:21
1
@officialweymaa :
jifunze kuachaa viendeee🕊️🕊️
2025-06-24 03:33:41
5
ren ♥️ :
natamani nilie kwa sauti kubwa uchungu uniishe jamn😭😭😭😭😭😭😭😭
ambweni hii nyimbo uliandalia Mimi ulijua tu ipo siku ntapita nyakati ambazo sina niacho ona kinaweza niokoa zaidi ya Mungu imenipa nguvu hii nyimbo Asante Mungu ukuniacha🙏
2025-06-24 13:39:23
1
MAKAMBAKO VYOMBO VIZURI :
this song heals,,😭😭
2025-06-28 20:59:05
1
datgirlcare😻🏹♐ :
ila huu wimbo😫🥺🥺🙏
2025-06-29 11:02:21
1
To see more videos from user @khanijo.the.don, please go to the Tikwm
homepage.