@mauzo_classic_crew: #WASABATO Hakika imefanyika baraka kubwa sana jumapili iliyopita Mr Mrs ALSONð Tulitupa nafasi ya kutangulia katika njia na kusafisha tukiweka baraka kabla hawajafika mbele ya madhabau na kula kiapo chao cha ndoa takatifuð.Usipate tabu usipate shaka sisi @mauzo_classic_crew tupo kwa ajili yako. Karibu sana na MUNGU akubariki sanað #MauzoSabato Squad: @mauzo_classic_crew Book Us: +255762750825 WhatsApp/Callð Groomsmen and Bridesmaids #tanzaniaðđðŋ #daressalaam ð #creatorsearchinsights #mauzoclassiccrew #fyp #tanzaniantiktokðđðŋ #explore
MAUZO CLASSIC CREW
Region: TZ
Saturday 21 June 2025 08:05:27 GMT
Music
Download
Comments
she is Highnessð :
wangapi wanasema wamependeza sana kuliko wanavyo lukaga lukaga ukooðĪĢ
2025-06-21 08:49:22
880
Ms Esperanto :
Seventh Adventist my churchðĨ°proud
2025-06-21 10:48:02
394
SABINA :
naipenda sn hii dini yangu advertist sabathðððð
2025-09-04 10:09:29
0
Imma D13 :
Wasabato kuingia tu kanisani hutumia masaa mawiliðððŋ siji kwenda tena harusi zao aiseeðĪĢ
2025-06-21 16:07:22
84
antialinus :
walivyo kama hawana dhamb vile
2025-06-21 09:19:28
248
superbgirlâĪïļâðĨð :
Ni muislam Ila kwenye ukiristo nalikubali Sana dhehebu la wasabato
2025-06-30 14:16:23
39
Norin Kikot :
wasabato n raha jamnâĨïļâĨïļ
2025-06-21 10:30:25
87
Mr.meâĪ :
Hello how can i get the instrumental plz
2025-06-21 17:49:05
4
charlynðĶðĨ°_ :
seventh day
2025-09-04 22:37:04
0
niah :
hongereni sana
2025-09-05 02:10:04
0
Jants jefta :
tukutane ukumbini utafkr sio wao waliokuwa kanisan
2025-09-04 12:15:25
0
AnneâĨïļ :
Haka ka beat kanaitwaje jmn
2025-06-21 10:27:29
1
doti ðïļ :
Na mm siku moja nitavaa hivi amina âĪïļ
2025-06-21 11:15:01
100
vee.h___ :
Smahn naomba kuuliz,wasabato hawaruhusu kutabasamu???
2025-06-21 08:44:40
66
nani kaona hao mabibi harusi wamefanana migongoðĪĢ
2025-08-27 03:59:21
1
Leyla Jackson :
Mungu awabariki na mm mung anisadie nilud kanisani ðððð
2025-06-23 23:16:28
10
essie_milesð· :
Sema ss wasabato tunapenda hii beat
2025-06-21 17:50:31
12
brin@ :
niliwah kwenda harusi ya kisabato nilijuta...
2025-06-21 11:36:26
6
tinatina :
jaman hii ndio style mpya ya kuingia ukumbini duh
2025-08-28 11:13:37
1
Bvm :
mnaendana kila kitu kasoro jina!
2025-09-03 07:49:32
0
crochetby_Amirð§ķ :
jina la wimbo pleaseððð
2025-06-21 09:52:17
4
nadyah Kabeby :
mashallah yuko simple had raha
2025-07-20 18:31:39
0
Anna âĨïļ :
Hy , I'm proud of being Adventist thank you âĢïļð
2025-06-21 22:58:55
14
offical_slayerðđ :
proud of sabbath in ma lifeðĨ°ðĨ°
2025-06-21 11:27:06
4
user818176616594 :
jaman hiyo biti inaitwaje
2025-09-04 09:24:06
0
To see more videos from user @mauzo_classic_crew, please go to the Tikwm
homepage.
ÂĐ 2021-2025 TikWM. All rights reserved.