we dada mbna unajua mambo 😂uyo mwanaume wako ana saut kwel
2025-06-21 12:11:48
392
Free Six :
Chukua na hii chukua chumvi weka kwenye maji alafu fungua biblia Wafalme wa 2
(2:-20-21) sema"Kama Elisha alivyo yatakasa maji na chumvi nami nayatakasa maji aya yakawe baraka" kisha kayaoge (tupia chumvi ya mawe ndio halisi)
2025-06-23 04:33:34
394
The.real.Khalil_hassan🇹🇿 :
Mimi money laundry isn't nothing to me mm nikiambiwa nisaforishe wanyaturu million Moja wakatumike kama mbolea uko chins I'm good to go
2025-06-21 18:10:21
134
Miss Eshy’a 💕🫧 :
The skin is skinning guys✨watu wanangozi nzuri nyie 🙌🥰
2025-06-21 12:45:43
200
Olly_storetz :
Nmekuja hapa baada ya story ya kupuliza gas
2025-08-09 14:15:09
130
It’s chudah collection 💃🛍️ :
Kuna watu wanauza nguo na lotion wanamiliki range kila siku mpya na wameanza biashara hata miaka kumi hawana kumbe kuna mambo behind nyie msitudanganye sawa tumewashtukia 😂😂😂
2025-06-21 18:35:47
123
Shy_look✨️ :
nikion story zako nakaa kwanza 🙏
2025-06-21 10:57:40
231
Mohammed :
Naomba tukukute oysterbay polisi utoe maelezo ya hizo club😂😂
2025-06-21 13:47:14
15
千ŦR•MANBOY :
mimi pesa zangu huwa nazisafisha na omo😄
2025-06-21 19:50:42
13
User2026 :
Aisee kwa hii shule umelamba follower hapa👏
2025-06-21 20:10:22
15
Ms Sitti 💋 :
Unahadithia vzr hadi rahaa
2025-06-21 12:16:13
35
Jirani 🇰🇪 :
Huko casino sasa ndo balaa,mfanyakazi wa casino anaingiza hela nyingi kuliko wa bank😭😭😭
2025-06-22 04:27:26
23
light💖💖 :
mbali na story una nywele nzuri
2025-08-04 01:24:55
13
Billionaireme 💯 :
Ongea harakaharaka nipo na dhahabu karibu
2025-06-21 11:46:33
61
MAN ROADEST 🗿🪶 :
naomba nikuoe jicho LAKO nimetafuta Sana mwanamke mwenye Hilo jicho,akiniangalia tuu mi natoa hela kabla hajaomba🥰🥰
2025-06-22 22:08:57
5
Eleven :
Tena hawa pastors hawa! Au basi. Wacha nipige kimya nipite, maana lawyer wangu naye ana lawyer wake
2025-06-21 13:31:40
16
lugala b :
hiyo inaitwa money laundering
2025-06-22 03:03:49
5
𝗝𝗔𝗕𝗔⍟🔥 :
:uzur wa TikTok unasoma comment huku unaangalia video kama unavofanya ww ndugu msomaji🤣🤣🤣🙌
2025-07-14 22:28:16
17
Choosen_one :
Kuna pastor alifukuzwa dubai kwenye hii case 😂😂 na akisema pokea watu wanapokea🤣🤣
2025-06-21 16:29:35
14
kwadadawinnie winga :
Redemption ipo netfix inaelezea pastors wanavyosafisha pia i recomend its 10/10
2025-06-21 13:36:34
107
awatif🐆 :
Ukiangalia the ozark utaelewa
2025-06-21 12:21:22
91
Amanexo :
Nimekuelewa Sanaa sitojiulliza tena luhusu hilo ,unaakili nying sana.
2025-06-21 19:06:14
8
SHAZZY COLLECTION🛍️ :
Yan uliongea Ata miez mitatu haijaisha Mungu ashakiamsha mapema sana🙌gurrrrrl wew ni fire😂🙌
2025-08-09 16:07:49
6
user124280425540 :
umesahau pia tunatumiaga nguvu ya jicho la tatu😂😂😂
2025-06-21 19:24:34
10
b7 :
mume wako anapata nafasi yakujitetea kwel
2025-06-21 19:40:42
5
To see more videos from user @waizer.it, please go to the Tikwm
homepage.