@prophetrogersministry: NASA MIKONO YAKO KWA MAJI YA KIOO UPATE FEDHA KIRAHISI Maji ya kioo yananguvu ya kusafisha NYOTA YAKO ya mali #KENYA🇰🇪 #tanzania🇹🇿 #usa🇺🇸 #foryoupage❤️❤️ #foryoupagee #creatorsearchinsights2025 #tiktoklive #livehighlights

prophet Rogers Ministry
prophet Rogers Ministry
Open In TikTok:
Region: TZ
Saturday 21 June 2025 13:17:55 GMT
748342
22818
1438
5575

Music

Download

Comments

gannibal100
GANNIBAL🇹🇿 :
pastor wew mbna huna
2025-08-19 09:29:15
11
shikamoooh.money
Shikamoooh money :
njia sahihi ya kujipatia fedha halali na ambayo haina rongorongo ni kufanya kaz kwa bidiiiii kwisha habari. zingine ni mbwembweeeee
2025-06-26 08:21:19
178
rileys792
Riley's :
nyieeee ile ya mate kupaka kwa macho😳 weeeeeeeee weeeee nimechanganyikiwa
2025-06-21 14:15:13
34
zombi_44
somi :
Nikweli nimepata kwenye begi millioni 332 ksh leo
2025-06-27 19:20:39
76
zahara.juma46
Zahara Juma :
Nyie ile ya kuweka miguu na chumvi jamani kumbe ni kweli 🙏🙏🙏
2025-06-22 17:01:15
37
hildahbea0
Ivy 💞 :
Hiyo pesa inatoka wapi kma hauna kazi 😂😂😂Hii Sasa ni uongo tupu
2025-06-22 13:06:59
50
nam3d.keyla
KEYLA OUTFIT 🔥 👗 :
zimeanza kuja taratibu ngoja niongeze speed in JESUS name🤲
2025-06-21 16:08:15
44
jamawaprado
Jama wa prado :
hivi ndio mtu hupata majini😂😂😂😂
2025-07-25 19:02:57
34
user6743309519394
Anna :
yani nimesumbuliwa na asidi vidonda vya tumbo miaka mitano nilikua nakuywa uji na mihogo vyakula vyote vilinikataa lakini jana nimekunywa maji yakioo nimepona nimekula kila kitu mungu akutunze
2025-06-21 21:22:54
26
odmdiehard
ODM DIEHARD :
rudisha huu ujinga facebook wewe wazimu
2025-07-08 12:46:53
10
user8118548390288
consolatachibella :
What if you are not doing any job any business
2025-06-21 15:04:42
15
user56305172512257
LYZAH :
napokeya miujiza
2025-06-22 09:21:43
7
thedyzimlinda
Thedy Aniah :
Baba wew ni msema kweli,tangu nimeanza kutumia haya maarifa haki nimekuwa nikimuona Mungu, ubarikiwe sana baba 🙏
2025-07-17 07:58:02
18
danford222
Danford :
Anapataje pesa bila kazi
2025-06-27 15:07:46
9
delfinamamka
mamka :
ukimaliza maji unamwaga?
2025-06-22 07:13:27
8
vanypesakanyambo
Vanypesa Kanyambo :
ww unazo izo pexa mpumvavu zeni sikuizi kila mtu ni mganga tafuteni kazi za maana acheni usenge
2025-06-21 19:17:11
20
kabebee._
ka bebe$ :
yani uyu kaka kaniokowa naicho kiyoo mpaka ivi naona kama naota tu🤦🙏 nikuombeye tu mungu akupe maisha marefu amiin
2025-06-21 13:29:18
13
devotha340
Deborah Mathias 💛🇹🇿🇴🇲💛 :
Na Sisi Ambao hatuna hata Biashala pesa itakuja Kwa njia gani🙏🙏🙂🙂
2025-06-21 14:07:10
7
musa12bi
Damas musabingo :
mbona wewe feza hazikufanane,kama siyo ushirikina mutupu🤣🤣🤣🤣🤣🤣
2025-07-26 11:51:40
6
rware02
Nyambu M. :
wewe uko na fedha tuanzie hapo??
2025-06-21 19:15:15
8
bahati02223
BAHATI :
naamini sana kioo Asante sana
2025-06-21 14:02:47
6
user5479856936311
user5479856936311 :
kioo naiamiani sana asante mtumishi wa mungu
2025-06-21 13:23:51
10
precious.jenny1
Precious Jenny :
ukinawa kwny diyaba unapata ngapi🤣
2025-06-27 09:15:18
7
rockymsogoti
Rocky Msogoti :
WEWE MWENYEWE HUNA FEDHA SI UFANYE WEWE UPATE KWANINWEWE HUTAKI TAPELI WA INJILI WEWE
2025-06-21 13:59:12
7
robixtne
xtne :
Sasa sisi wakenya,,,, tulikosea wapi pesa itoke wapi? at million na hufanyi kazi..... napenda mapasta wa Tz..
2025-06-21 18:28:15
6
To see more videos from user @prophetrogersministry, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About