@mwigulunchemba: ASANTENI SANA WANANCHI WA KIJIJI NSELEMBWE, KATA YA SHELUI.

Mwigulu Nchemba
Mwigulu Nchemba
Open In TikTok:
Region: TZ
Sunday 22 June 2025 07:42:18 GMT
82790
2419
223
175

Music

Download

Comments

dubai.shop.kahama
Dubai shop kahama :
Vp lami ya barabara ya ndago baba
2025-08-03 07:41:09
2
naifatiaisha
AGNESS :
waliosoma secondary shelui njoo hapa
2025-08-04 17:24:20
6
chimama.890
chimama 890 :
uyu baba uwa ana roho mbaya kumbe mnyaturu
2025-06-30 12:30:20
3
glorynandi
Glory nandi :
vipi kuhusu shule kisua coz Kuna umbali watoto kupata elimu
2025-08-04 12:05:41
2
latifakassimu
latifakasimu 🦋💝 :
weka rami singida kukoovyo wakati tunawaziri wa fedha inaumiza sn
2025-08-03 21:15:57
1
ummy.zhou
ummy zhou😍😍 :
mbunge wetu me naomba t unisaidie laki moja pesa ya mtaji nakolopa baba saidie mzaliwa wa wilaya ya iramba kata ya shelui kijji cha kinkungu
2025-08-04 04:37:35
2
masudramadhan6
Masud Ramadhan :
ww ni jembe la wanyiramba tunajivunia ww mwigulu.sauti ya wanyiramba inasikia taifa .mungu akubariki kaka🥰🥰🥰🥰🥰🥰🥰🥰🥰🥰🥰🥰🥰🥰🥰🥰🥰🥰🥰🥰🥰🥰
2025-08-03 19:49:24
1
user9282514915636
julieth :
lami ni barabara kuu tu misigiri na barabara ya kiomboi mbali na hapo iramba hamna lami jmn barabara ya kiomboi kwenda kidaru mungu tu anaokoa maisha
2025-08-03 18:36:24
2
rajabuhajimayange
Rajabu Haji Mayange :
Mheshimiwa nashida na no yako mimi mimnyiramba wa kiomboi bomani
2025-07-28 09:13:19
0
mkiwa39
mkiwa, :
mungu akupe kila la hir
2025-06-23 04:50:34
1
user6736792235010
Agshilla. :
Baba mi5 tena ila weka lami kwenu utafannya kitu chema maana mapato yako mengi sana kwajili ya wafanyabiashara
2025-08-04 09:50:21
1
mnyiramba351
mnyiramba :
Unaona wanyiramba mnafuraha sana
2025-08-06 07:45:03
0
hafsasaif66
Haruny :
mwizi tunaye na tunatamba naee 😂
2025-06-30 08:52:56
3
kitumbi.daudi
Kitumbi Daudi :
huyo Kuma 😳😳😳😳😳
2025-07-01 15:28:10
0
user38601422745823
vaileth :
wanyiramba tunaweza
2025-08-05 11:42:15
2
monnie5689
Monnie :
nakuomba uwe raisiawamu ingine
2025-08-10 09:54:13
1
kiularuben
Kiula Ruben :
mnampenda mtu ambaye ha2said chchte singd
2025-08-20 18:15:23
1
evelinekingu
evelinekingu :
nyumbani kwetu hunaga mpinzani ila najuta kwann tumepishana asee Mwigulu ni mmoja tu nkonkilangi,shelui, mgongo, ntwike yaani iramba nzima🥰
2025-08-05 09:51:15
1
officialviaikimario
official viai via❤️ :
wakati wakuimba nyimbo za kulugha sasa akipita anapita Jana buti
2025-08-06 05:33:47
1
anna.obed6
Anna Obed :
nani kama mbuge wetu
2025-08-01 18:57:26
2
sarah40081817379
Sarah40081817379 :
uwanja maj mashule tunayo kwaajil yako wanyira tulaikiane video mko wap
2025-08-03 10:23:23
0
freetundulissu
Măĺçőĺm x :
MHUJUMU UCHUMI NO 1 KWENYE HII NCHI WEWE. UTAFUNGWA GEREZANI USIKU UTAKAPOKWISHA HAPA NCHINI.
2025-06-23 11:37:35
4
glorynandi
Glory nandi :
tusambazie maji Mh Mbunge kisua mgela
2025-08-04 12:04:35
1
racheldev7
racheldev7 :
fanya yote ila mahanadi ya kijiji cha kitukutu toka niko kiduchi mpaka leo nina miaka 25 hamna chochote
2025-08-04 07:21:10
1
petroalfred
petroalfred :
Achieni wengine sasa nao walete fikra mpya kwenye nchi yetu msijimilikishe majimbo
2025-06-22 09:13:04
3
To see more videos from user @mwigulunchemba, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About