@roc_tv: Kuna wakati tunatakiwa kumwambia MUNGU atuondolee Yale yote ambayo yanatufanya tusizione baraka zake ,maana bwana Huwa chukia wenye kiburi na kuwapa baraka wa nyenyekevu, kiukweli tume jiinua Sana neema yake utusaidie kuondoa majivuno ndani yetu . Jastin Asifiwe kwenye kipindi cha SAUTI THERAPY akimuinulia Mungu ibada. . . . #sautitherapy #tiktoktanzania🇹🇿 #kenyantiktok🇰🇪 #injili #ibada #southafricatiktok🇿🇦 #rwandatiktok🇷🇼 #roctv #roctvtransforminglives #yesukristo #kusifunakuabudu

Roc Tv
Roc Tv
Open In TikTok:
Region: TZ
Monday 23 June 2025 05:46:43 GMT
648290
43578
821
2894

Music

Download

Comments

reby8320
Rebyinos :
wanaotaman kuondolewa kibur kujaliwa unyenyekevu na kuondolew mashindano na MUNGU tujuane hapaa 😭🙏🙌
2025-06-24 07:52:36
458
clarity_scotty7
clarity_scotty :
kama unaamini ni neema ya Yesu pekee na wala si ya aina nyingine .sema Amen
2025-06-23 22:30:17
187
angelayana34
Angie The Alpha :
hi guys tomorrow is my birthday
2025-06-25 15:50:42
39
michaelmejah
First born :
huu wimbo uyu zoravo alifunuliwa sio siri, kuna pumzi ya Mungu behind it
2025-06-24 18:47:21
72
precieuse9736chizungu
precieusechizungu :
please help me with the song title please please🥹
2025-06-24 22:32:22
12
lizzylameck99
Suku lady🥰✝️❤️ :
Man of GOD JUSTINE ASIFIWE🥺🥺🙌🙌🙌🔥🔥
2025-06-23 11:28:12
85
masaiwayesu20
LUCKSON MKESO :
huwa linapokuja swala la kuabudu Justin Asifiwe ananifundisha unyenyekevu usio wakawaida na kuumaanisha katika kile unachokiima hata kama wao wanataka
2025-06-23 07:18:56
58
godiedeoswaie
GODFREY :
Who is cutting onions 🙌🏽😞
2025-06-23 12:19:34
21
braitomachaka
Braito💝💝 :
🥰🥰yaani Hadi damu inakubali... roho inatulia akili yote inarudi factory reset..... God is everything indeed.... Amen
2025-06-23 09:13:19
54
sarah_mwalu
sarah_mwalu :
huu wimbo unanifanya nijishushe nikikumbuka neema yake tu imenibeba , nijalie unyenyekevu ee MUNGU wangu😭
2025-06-23 07:54:31
48
jonathankartagata
Jonathan Kartagata :
@Ben solo guitar yako inanibeba pia ila min justine asifiwe Mungu anakuona 😭😭🙌🙌 🔥
2025-06-23 22:24:39
21
its.elly_piano
it's elly_piano :
nmependa utulivu wa kinanda na mwimbaji that's worship sio kupiga vitu vingi as if maonyesho this is great tukitulia kwenye worship Tanzania we are going higher🔥
2025-06-23 07:06:45
34
tadecchaula
tadecchaula :
we jamaa una roho ya Mungu anzisha Tuesday warships km Sara k
2025-06-23 15:12:14
38
derickpeter42
itcdp :
kuna namna ambavyo nimeguswa na machozi kutiririka pasipo kutaka hakika hii ni sauti ya uponyaji
2025-06-24 17:22:44
17
katabazi_star
Katabazi Starpinus :
wanaotaman kuondolewa kibur kujaliwa unyenyekevu na kuondolew mashindano na MUNGU tujuane hapaa 😭🙏🙌
2025-07-16 20:55:45
7
ester.steven3
Ester✨ :
mmnyenyekevu Sana uyu kaka ana abudu Kwa kumaanisha
2025-06-24 11:16:13
9
lightness4444
SEASON :
Huyu kaka anajua kumbembeleza Mungu hatari… wen he sings you see God in ur heart
2025-06-23 19:04:32
24
baraka_frank
baraka🥉🏅 :
Groly to God ameni br barikiwa sana kak asifiwe ume ni gusa sana
2025-06-23 10:54:27
10
user7526192954982
precious :
napendaga sana uimbaji wako kaka yapogo rohoni
2025-06-23 14:21:34
5
kibeby20
Lily sway🥷 :
😭😭😭😭😭😭😭😭 nijalie unyenyekevu
2025-06-23 07:53:56
11
tumpale.watson
Tumpale Watson🥰 :
uweponi ni raha sana jaman
2025-06-23 18:39:12
6
usernobekabekary
user2954137798697 :
Aishiiiiiiiiiiiiiiii yooooooh😭😭😭😭anointing voice 🥰
2025-06-23 14:17:37
12
firstlady_11
firstlady_11 :
😭😭🙌 JEHOVA on high
2025-06-23 08:56:33
9
kaldoumyoussouf1
user7895633660595 :
mnanibariki sana mnajua kunifanya nisali Kila mara
2025-06-23 12:00:32
7
nitayoung26official
Nita Young26 Official :
song title please
2025-08-18 13:54:01
5
To see more videos from user @roc_tv, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About