hatimae wafanya biashala tumefikiwa
barikiwa sana mtu wa Mungu 🙏
2025-06-23 14:22:32
74
agathamom1 :
Wafanya biashara tunaiman kubwaa gonga biashara mfanya biashara naomba mniungishe bonnet wapenz nauza
2025-07-15 08:54:00
5
Esthervtesha1004 :
Hapa enyewe nmekaa nasubiri wateja ambao sijakubaliana nao wanakuja Lini na saa ngapi 😂😂😂
2025-06-27 08:04:31
9
Judy :
True nasubiri wateja hawajanja hata mmoja na najua watakuja
2025-06-24 11:16:04
11
Helly🛍️cosmetics :
Very very true
2025-06-23 16:25:05
5
Tv kibaha :
Nilikaribia kufa sasa umeniponya
2025-06-26 13:17:58
9
upendombwilo10gmail.com0 :
kweli baba. biashara ni bonge la imani. maana hujui utauza au vitachina
2025-06-26 05:33:39
5
Antony Mtumishi 334 :
kabsaa
2025-06-23 12:57:10
5
Mkisaman :
Amen
2025-06-23 12:01:23
5
EMMANUEL MARKO MWALONGO :
wafanya biashala tupo?
2025-06-23 11:01:29
21
user8595070014161 :
wewe acha TU baba aitwe baba maana
2025-06-24 14:27:22
6
Godfrey :
wafanya biashara wezang tujipokz kwa la like
2025-06-24 14:05:55
20
linaama :
kweli kabis 🙏🙏
2025-06-23 16:48:53
5
John Mewa :
ameen mtumishi 🤲
2025-06-23 19:59:06
7
Jofrey Nossy :
hata mkulima Kuna kuvuna au kufeli bila Imani hautaish bro
2025-06-23 12:52:16
7
Nyar waganjo :
wee acha tu.Mungu apewe sifa
2025-06-24 08:29:19
10
Gloria Kileo :
hata waajiriwa unafika job. unaambiwa kazi mwisho leo
2025-06-25 08:29:54
7
Tv kibaha :
Hatimae umenipa tumaini jipya 🥰
2025-06-26 13:16:48
5
Ngonifaceless channel :
Mhubiri 11:1-8
Jishughulishe na biashara hata kama kwa kubahatisha; yawezekana baadaye ukapata chochote kile. Panda mbegu asubuhi na jioni usiache kupanda, maana, hujui zipi zitaota; za asubuhi, za jioni, au zote zitakuwa nzuri. ; lakini akumbuke kuwa siku za giza zitakuwa nyingi,
2025-06-25 09:49:43
12
pastor_sittamajani :
Doooh
2026-03-12 11:58:04
1
misay :
kweli kabisa baba angu ubalikiwe
2025-07-05 12:30:54
4
kipepeo🌻💝 :
Hakika..Imani ndiyo Nguzo pekee ya Ushindi.. Marufuku kukata Tamaa Wapendwa..🥰
2025-08-04 09:55:00
1
🇨🇩maman de 9 toujours 🇨🇩 :
Kabisa
2025-07-28 14:05:10
2
Mama la mama :
Hakika na imani yetu ni kuu mnoo🙏🙏🙏
2025-06-26 14:43:50
4
user9365423675985 :
Amina
2025-06-27 10:34:46
3
To see more videos from user @pastor_sittamajani, please go to the Tikwm
homepage.