@rehobothhealthhub: Miongoni Mwa Matatizo Yanayokua Kwa Kasi Hivi Sasa Ni Tatizo La Kukosa Uzazi hasa Kwa Akina Baba. Zipo Sababu Nyingi Sana Ambazo Zinachangia Lakini Kubwa Ikiw Ni Mtindo Wa Maisha Ya Kila siku. Kupotia hapa utajifunza Namna Ambazo Baadhi Ya Tabia Zako Za Kawaida Zinaweza Kukufanya Kukosa Uzazi Kabisa. #creatorsearchinsights #fypシ゚ #tiktoktanzania #afya #elimu