@dalali_dee_dodomaa: Correct me if am wrong Guys🙌🏻

dalali_dee_dodoma
dalali_dee_dodoma
Open In TikTok:
Region: TZ
Monday 23 June 2025 17:53:41 GMT
57575
924
283
77

Music

Download

Comments

msray306
ms~ray :
ambao wasshawai kuhudumiwa na Dr hinju na nurse bryan tuwape like zao apa❤️❤️❤️
2025-06-24 15:45:05
47
rae_masikio
Masikio's :
JMS Polyclinic Nkuhungu ni 🔥🔥🔥VIP treatment, bima zote, customer care☺️💯, Huduma za kibingwa, Services Assurance 💯.
2025-06-24 15:44:35
7
gladness.munisi3
Gee💚 :
St Gemmah 🥰
2025-06-24 08:27:12
8
veronicamkawe
veronicamkawe :
Ipo vzr tena ukienda kujifungua hapo utafurahi kwa hudum wanauangaliz mzuri san jamn
2025-06-23 23:11:25
7
fettyally00
fetty cute :
wanatisha mashaallah
2025-06-23 18:18:26
1
helleyner_
Hellen cake’s Dodoma :
Wapo vzr mno Dr Hinju 🙏
2025-06-23 21:07:36
9
angeldedan136
Angel Dedan :
DCMC nao wako vzr kwa kweli
2025-06-24 09:56:54
23
nursemtembezi
Nurse Mtembezi 🚑💊🩺💉 :
karibu DCMC
2025-08-05 15:11:52
0
user65810311
Zenna Seif :
Dr Hinju Mungu ambariki na aendelee kumuweka yule baba wallah!
2025-06-24 10:46:32
22
bby.mwaa
Bby Mwaa :
Iko wap hii???
2025-06-24 16:40:47
2
nyemo_1
Ney🦋 :
receptionist 0.000% kuna kàdada keupe hapo mashauzi kibao😏
2025-06-24 02:46:31
14
thebosslady988
thebosslady988 :
Hapo reception ndo wapuuzi😏😏😏 ila hao wanaofuta madoctor na manurce MUNGU awape maisha marefu ni wakarimu sanaa..🥰🥰🥰….reception lolote liwakute nyau nyie
2025-06-23 21:57:35
17
choosen_plaque
Choosen-plaque :
10/10🔥🔥🔥🔥🔥🔥wanadekeza wagonjwa pia🌺💝
2025-06-24 17:45:06
0
abisina.ngalowoka
user 1234 :
ulishawahi kutibiwa Mwangaza Polyclinic?
2025-06-24 11:32:06
8
mumu63758
mumu6375 :
Walinipa majibu siyo yangu,Sina hamm nayo hy hospital waliniambiaa nna homa ya ini 😒
2025-06-23 18:45:52
4
jamesmanyara731
jamesmanyara731 :
mwangaza wako vizuri kuliko hawajali pesa wanajali afya ya mgonjwa
2025-06-24 11:26:22
10
nancykidscollectio
NancyKidsCollection‼️♥️ :
Benjamin Mkapa Hospital
2025-06-24 17:44:33
0
tynest56
limkyo :
usitupange hamna kitu😂😂
2025-06-23 18:53:42
5
tzyangu
Tzyangu :
hawatumii nhif
2025-07-16 19:32:05
1
haidary..scoda
MUUZA SIMU DODOMA :
GHARAMA ZAO ZA KUJIFUNGULIA APO ZIPOJE DADA ZANGU?
2025-09-03 15:22:36
1
mikopo20
seline :
tatizo lingine hawana bima tatizo tunaomtaka dr inju tuna bima sa itakuwaje ndo tumfuate benjamin 😅😅😅😅
2025-06-24 12:54:13
4
ruthafyazone85
Ruth Afya na magonjwa sugu :
Iko wapi nikajaribu
2025-06-24 08:39:09
2
_illegalnaye_
NAYE🦋💦 :
ata DCMC😒
2025-06-24 15:32:39
1
nyakyegi726
Takecare Takesure :
ipo dodoma sehem gani ( location)
2025-06-24 08:45:54
2
upendoadinani
Sweet🧚🏻‍♀️🌸 :
Siku naenda wakiniletea isenge nitachamba huku naonyesha comment za TikTok 😁😁
2025-06-24 10:59:34
3
To see more videos from user @dalali_dee_dodomaa, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About