@godfreysteven7: #GODFREYSTEVEN #IWISHYOUGOOD

GODFREY STEVEN
GODFREY STEVEN
Open In TikTok:
Region: TZ
Tuesday 24 June 2025 08:15:02 GMT
580409
51131
962
2989

Music

Download

Comments

samy60844
Call Me Samy🍭 :
Tulioguswa na Huu wimbo tujuane🙏🏻🙌🏻
2025-06-29 04:45:53
621
misstrampo
Missjojo¥🇹🇿🫶🇺🇸 :
We mkaka ulie nichumbia na kuishi na mimi miaka 7 na kunizalisha mtoto na kunitelekeza na kuowa mwanamke mwingine sikusamehi nipo razi kuchomwa kwajili yako sikusamei wewe na ukoo wako wote sitaki ushauri wa mtu sisamehi kamweeeee💔
2025-08-03 14:41:52
68
maamyrah20
Nya sega :
life so private nobody knows I don't forgive 😫😂😂😂
2025-08-08 15:29:06
30
shifra7752
shifra :
siwez samehe chochote guys nina mengi😭😭
2025-08-02 20:48:10
39
odiman7
7LEADERS :
huyu ndo mwenyew wa wimbo huu au
2025-08-01 08:54:55
24
kim_mashirima
Kim_Mashirima :
Huu wimbo umenifanya nimsamehe mtu alienikosea nimepata nafuu moyoni na nimemtafuta kwa simu nmemwambia awe na amani hadi ameshangaa
2025-07-24 17:29:21
44
ndagafijo
Mvuvi🎣 :
Akuna komwe lisilo na madini Big up sana wimbo mzuri💪🏾
2025-08-01 05:53:22
19
nelsonkazungu
Nelson Kazungu. :
zidi kupanda viwango vingine kaka
2025-06-24 09:42:44
90
nancykivuyo815
Nancy Kivuyo :
sasa nalia nn😢😢😭😭
2025-06-28 07:21:57
22
salamangereza7
salama J :
yani amagusa mioyo ya wengi mnoo❤❤
2025-07-22 15:21:14
21
tinamwakio.06
favour grace :
mimi alinizalisha watoto watatu na akaniacha ati Sina shape na kuzaa watoto wasichana hawatamsaidia kwa maisha yake, my girl is going to university this August doing medicine so nataka ajue nimemusamehe kabisa 🙏🙏
2025-08-04 10:16:13
16
allainebella0
WA NOOR♥️ 🇰🇪🇦🇪 :
nimebarikiwa sana nahuu wimbo .....msenge nilie zaa nae akanikimbia nimekusamehe😥🥺🥺🙏
2025-07-29 08:53:44
11
ceemoney825
Cee Money ❤️ :
nifundisheni jinsi ya kusamehe maana Kuna mda majina ya watu walonikosea yanakuja kichwani tu
2025-08-03 08:58:02
5
user9396187511460
shola :
wimbo umetakasa sana moyo wangu barikiwa kwa huduma
2025-08-10 17:51:15
11
user24900720631415
Sinyati lucas :
Nimefarijika na wimbo wako
2025-07-24 10:23:09
6
user6333154655699
lightness :
napenda sana nyimbo zako kaka mungu akubariki
2025-07-14 10:23:48
5
userhaniphabello
MRS BELLO🦋 :
huu wimbo umenifanya nimsamehe mtu alowahi niumizaa sanaa🙏
2025-07-10 09:55:57
15
zainabngele0
🤍 zeynab 🦋 💕 :
hii nyimbo imenikumbisha mengi
2025-07-05 19:09:51
7
_ngonigiant_02
_ngonigiant_02 :
godfrey steven unajua alafu unajua tena nina appriceate sana
2025-07-04 17:06:39
8
janethtemba310
Janethy Temba :
Mungu akubariki kaka nyimbo zako zanibariki sana🥰❤️
2025-06-24 08:18:39
16
user5957586201186
wittness :
kusamehe unaweza ila kusahau ndo kipengele😭
2025-07-31 21:13:56
11
caty_chriss
Caty chriss🪴🌹 :
kweli bn nimesamehe woteee baada ya kuusikiliza huu wimbo jmn,. namshukuru Mungu🙏
2025-07-18 15:54:51
5
ms_karinah
ms_karinah♊️❤️ :
Hii song imeniheal mno 🥺 ... Azidi kubarikiwa ❤️
2025-07-27 08:47:33
6
salomemagohe243
🤎melosaoutlook🌸🛍️ :
jaman unaitwaje😭😭
2025-07-16 16:43:26
12
user2390672622919
Grace :
wimbo mzuri sana Mungu akubariki kaka
2025-06-26 11:33:33
8
To see more videos from user @godfreysteven7, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About