@mcshumaevents: RITUNGU CHALLLENGE WA KANDA YA ZIWA TUJUANEE #chagaicon🔥🔥 #mcshumaevents

mcshuma events
mcshuma events
Open In TikTok:
Region: TZ
Tuesday 24 June 2025 16:35:07 GMT
191042
5249
375
662

Music

Download

Comments

rozajoseph
Rozal.. cute💓 :
wakurya wetu achia like hapa♥️♥️
2025-08-11 14:58:44
160
daqshoty
Scoo❤️ :
baada ya hapo ni Mapanga tuuu shwaaaaaaah😃😃😄😄😄😄😄😄😄😄
2025-06-26 12:38:16
20
nuru.sanga0
Nuru Sanga :
naomba mungu maisha yenu yawe ya furaha siku zote kama leo
2026-04-13 19:11:38
0
aziza.adam11
Aziza Adam :
wakuria tujuane
2025-06-28 19:12:18
64
misslee632
MissOli👩‍🦰💞 :
ivi wajaluo sisi staili yetu ni ipi????😳😳? 😳
2026-03-03 10:06:10
0
anna.julius7
Anna Julius :
Mnavyowasema wakurya vibaya hadi nashangaa jinsi nilivyokuwa na mwanume handsome mstaarabu mwenyeupendo ajui kukasilika hata sielewi mnawaongerea wakurya gani kila kabila lina wema na wabaya inategemea pia na malezi
2025-08-10 07:42:03
19
iddy00007
Iddy 0000 :
furaha. ya. siku. moja. suburi. kipigo. endelevu. sasa. mpaka. ndoa. utaiona. chungu. hawana. masihara. hilo. kabila.
2025-06-25 15:19:02
34
amos.steven2
Abdallah Stephen :
Kama wewe ni Mkurya kama mimi Weka like yako hapa Mura.
2025-08-15 12:10:19
23
boniphace.marwa62
Boniphace Marwa :
Wakurya tujuane
2025-09-10 13:50:39
2
quinter.audaks
Quinter Audaks :
Jamani huyu baba anapatikana wapi nipeni direction
2025-10-08 17:43:02
0
user7367105242620
user7367105242620 :
Raha mm kua mkurya jaman kabila lenye upendo ila ukijichanganya upendo unawekwa pemben panga inatumika kurudisha upendo 😂😂😂😂
2025-07-23 19:16:07
8
chaxy011
chaxy01 :
Mkuria ambae hajaolewa Njoo tujuane mapema next iwe yetu
2025-08-06 08:02:35
4
nyamtondomasanje
kilolikiloli :
wakwaya wakwaya mko wp
2025-08-18 17:18:16
0
user7605475508755
user7605475508755 :
Sasa huyu ndio bwana harusi 🤣🤣🤣
2025-06-26 11:13:59
13
leemaxlimina
leemaxlimina :
watu na kabla yetu
2025-08-25 14:43:44
4
jacklinemalura
MA MDOGO :
we wakulya ni noma kama unaweza kuchezesha kichwa hiv tujuane mm wa kwanza
2025-09-21 19:52:35
3
miriamgisiri
LASTBORN WA PRIME MY BD 15/10 :
bwana harusi anavaibu sana wap wakurya🤣🤣
2025-09-05 13:38:17
2
evaline124
evaline124 :
hakuna cha panga huyo ni msomi..tatenga umukurya waito
2025-06-26 19:38:57
6
user7881810906361
user7881810906361 :
mura umetisha sanaa omona weto
2025-06-29 06:48:24
2
the.mafic
The.mafic :
umetisha broo mitano tena 😅😅😅unajua kulicheza kabisa
2025-09-09 21:05:02
2
ritha9563
Irene :
Catholic forever ❤️
2025-08-29 12:52:51
1
kamom515
kamom :
bwana harusi na hiyo furaha isikupe kiburi😂
2025-08-28 11:34:35
1
mwita451
mwita :
umetisha kaka
2025-08-07 13:43:40
1
usercutenana
binti werema :
proud to be kurya 👌 hebu wakurya tujuane kwanza
2025-09-13 18:32:45
1
To see more videos from user @mcshumaevents, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About