uyo kaka yupo sahihi yan mwanamke anae jielewa hawez jisifia vitu kam ivyo☺️☺️
2025-06-24 21:02:59
830
amifsa☺️😍 :
jamani msingo ni nn
2025-06-25 16:50:58
8
user7399330901570 :
huko kaka yuko sahihihi
2025-09-07 16:31:15
0
the queen 👸 :
samani msungo ndo nn jamani
2025-07-31 23:11:03
1
lovejane🌹🌹 :
msungo hahahaha
2025-06-25 15:43:54
25
only fear of death :
nilishawai kumwambia mwanamke flan kuw m mbona sion icho ulicho fundwa naona mauzauza m nilizan nimeongea kawaid kumbe nimemkwaz mtu naon mtu ana lia na kusem nimemtus kuuliz watu wazm waka nijib ndio nimekosea mpka leo silopok
2025-06-24 19:51:42
38
precious :
hawa wa Leo mbona wamechachuka mno😂😂😂😂😂
2025-06-25 11:24:48
126
momy24100 :
Huku wanapataga wapenz kwel😂😂
2025-06-24 21:15:56
80
Dia :
ila mtangazaji ananichekesha
2025-09-07 19:56:30
0
aminanginga :
hii inapatkana channel gan??
2025-06-24 20:28:39
4
Mamuu Makule :
yan kabla hajamalizia msungoooo ningemrukia na kichwa uyo kaka
2025-06-24 19:10:11
68
hellen mmbago🥰 :
huy kak kaongea ukweli 🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣
2025-06-25 05:28:30
38
Calistra💫 :
msungo ni nn jamaniii🤣🤣
2025-06-24 20:37:42
20
user39491756088820 :
msungo ni malaya🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣
2025-06-24 21:34:31
66
Prity Nur88 :
walai handsome huyo jamaa nipeni mm🤣🤣
2025-07-11 05:07:05
2
lulukilake1 :
Sielewi maana ya msungo mi mchagga jaman
2025-06-25 04:24:57
6
Angie The Alpha :
tomorrow is my birthday guys 😄🥰
2025-06-25 20:57:17
10
Trishia😄 :
mbna youtube haipo🤣🤣🤣🤣🤣
2025-06-25 13:41:08
4
@Sky- cuddles🦋 :
na hayo madela Leo kweli ni kuchambana point😂😂😂
2025-06-24 19:03:10
362
Jamilah&*Reign"💥 :
msungo kweli
2025-06-25 11:38:31
9
joyceeded :
sasa mnaongeq nn apo😂😂😂
2025-06-24 20:40:42
10
Mr. luqman jaysome :
why juma lkn😂😂
2025-06-24 19:12:17
4
Derah🩷👑 :
hii kiswahili yote ni nini😒😹😹😹
2025-06-24 22:18:04
12
cody☣️ pody :
hihihihihi
hehehehe
hahahaha
😂😂😂
2025-06-24 19:39:20
25
Grace titus :
jamn gladness😂😂
2025-06-25 05:52:44
4
To see more videos from user @ourlovestorypodcast, please go to the Tikwm
homepage.