yani akuna nyimbo mbaya kwa uyu kaka zote znanibariki sana mungu azidi kumtunza🙏
2025-06-26 08:45:41
47
saimon :
kaka unatulia sana na roho mtakatifu mungu akutunze! kaZ nzuli sana
2025-06-25 08:42:41
22
wittness :
nyimbo zako zinanifariji sanaaa mungu akupe maisha maref🙏
2025-09-13 19:58:16
6
CMA😉 :
May this testimony locate me too😊
2025-06-27 08:17:34
7
najmahanc :
amen mungu tubariki na sisi tuliokataliwa tuwe ushuhuda mungu🙏🙏
2025-06-25 12:49:06
14
Joseph Mabula Jacob :
bro hongera Sana,Mungu kaweka kipaji cha nyimbo za injili ili kutukumbusha kuwa maisha bila Mungu binadamu si kitu.
2025-06-26 05:43:42
15
jess :
da anajua sna uyu Mungu ambariki snaa
2025-06-25 09:52:19
5
Ebenezer Daniel :
I wish you Good ndugu zangu, Karibu Youtube kusikiliza wimbo wangu Mtu wa Mungu unisupport kwa kuview, subuscribe, comment na kushare, andika tu Ebenezer Daniel-Nitashinda youtube, na Mungu atakubariki kwa sadaka hiyo ya kusupport injili
2025-06-27 22:25:18
9
rabinabdul486 :
aiseee nais msisimko moyoni mwangu nkisikiliza nyimbo zko be blessed
2025-06-27 19:27:18
7
Gisela🍭🫧 :
He is back😍😍
2025-06-25 23:38:58
5
vm#vp :
Chorus is killing me😭
2025-06-25 14:31:32
7
suzy#1010 :
Mungu aendelee kukubariki nafarijika na nyimbo zako mtu wa Mungu🙏🙏
2025-07-08 06:04:39
6
Alice Buyaki :
thanks welcome
2025-12-01 09:46:47
1
Ummyummy :
powerful song iam Muslim but this song touch my soul 🥺🥺🥺🥺🥺🙏
2025-08-19 06:27:58
4
Trust23 :
Mungu azidi kukutia nguvu kwahuduna nzuri
2026-03-21 16:51:03
2
sophie.nyamhanga20 :
amen
2025-06-25 13:42:26
2
Nebo :
amen
2025-09-18 17:29:45
1
🅴🅼🅼🆈_🆂🆃🅾🆁🅴 :
ameeeeeni
2025-06-28 06:56:01
3
deckyreal :
Amen🙏🙏🙏🙏
2025-06-29 14:34:40
2
To see more videos from user @joelkilumile03, please go to the Tikwm
homepage.