😂😂😂jana ulikuwa unatusi watu wakikupea advice usiende maandamano
2025-06-25 18:46:27
638
Naomie canty :
good boy tulisema ukipata risasi yako unaondokea wengine
2025-06-26 06:09:13
903
George Owiti :
mm siwezi kuenda mandamano juu najua Dunia Haina haki.....2007 kibaki aliiba Kura..huyo Martha karua ndio alipisha kibaki 7 pm....Sahi hao ndio wanafanya malaika wakora...