Nikweli unachokisema lakini nachojiuliza kwanini TBS inaiidhinisha kuwa ni salama kwa matumizi ya mwanadamu wakati ni hatari kwamatumizi ya binadamu? wakati mamlaka zipo?
2025-06-27 07:19:09
8
Erickië :
Acha kuhalibu biashara ya watu mkuu fata yako
2025-07-01 15:20:17
1
aminasaidi51 :
yaani mm n Red bull kwa kwenda mbele kila siku lazima nimywe moja nimeshindwa kuacha
2025-06-26 22:54:19
5
Alpha_saibot :
mm nimekunywa zaidi ya miaka minne sasa na moyo unaenda mbio nikiacha saivi nimepona??😊
2025-10-02 13:25:19
0
mr carter vol 2 :
kuma inapunguza miaka ya mwanaume ya kuishi pia uboho kwenye mifupa lkn tunatomba kama kawaida na madaktari hamsemi chochote
2025-06-26 17:15:57
6
bwana h :
asnte sana dokta wetu
2025-07-02 04:52:41
1
meddy phone :
nilikua nataka nikanunue sasaiv
2025-07-08 14:45:09
1
Ludanga_Nassoro# :
bwama weeee unywe au usinnywe mwisho wa siku utakufa tu, ko acha tuinjoy maisha ni mafupi na kifo kipo tu hata usile chochote
2025-08-02 03:50:55
1
Ramso Rams :
je nilikuwa kwa wiki mara2?
2025-06-27 06:05:11
1
Ivan Ndilola :
Ahsante Sana DK kwa elimu ya bure kabisa🙏
2025-07-02 01:33:36
1
Momy twince :
kwanini mnaviruhusuu kuuzwa???
2025-07-25 19:45:12
1
Jackison Chengula :
Asante sana kwa elimu
2025-06-30 20:20:09
1
geofreybarton511 :
ni kweli kabisa nilikuwa naendesha gari kwa muda mrefu nikawa natumia enegy drink nikijisikia kusinzia kilichonitokea we acha tu mpaka leo natiibiwa
2025-06-30 18:50:23
2
jerida :
asante na acha kuanzia sa hii
2025-08-30 20:34:15
2
hassan :
SHUKRAN
2025-08-01 12:22:47
1
Francis Kisire :
asantesana,ndugu
2025-07-08 19:24:26
1
From your contacts :
ongea haraka me nakaa mbali ujue
2025-07-01 09:54:25
2
Msaronga :
maisha yangu sijui ladha za energy drink kabisa sijawahi Wala Sina huo mpango nazo kabisaaa
2025-06-29 09:19:50
1
maaz :
Tupe njia nzuri ya kuacha
2025-06-28 20:40:34
1
lugano mafwenga :
Dr tunashukuru sana kwa somo lako mimi nafikiri toa ushauri kiwandani watoe kitu gani kati ya chemicals hizo lakini uwe mwangalifu wanapata mkate
2025-06-29 08:16:06
1
Edwin Willson :
kwani Tbs kazi yao ni nini ktk kunusulu maisha yetu au wameamua kushiriki kutuua.
2025-06-29 05:58:26
2
Sophy :
kama ndivyo, kwanini zimeruhusiwa?
2025-06-27 04:07:36
1
joster pa lwembe :
kuna mangur wanazitumia kutolea mimba akina mama wa marehem kabla ya wakati wa MUNGU sheeeeeeeeeeeeeeeenz
2025-06-27 00:25:14
2
hamiford3 :
Upo sahihi doctor endelea kuelimisha jamii tunakuunga mkono👍👍👍
2025-07-04 09:34:46
1
To see more videos from user @doktanature, please go to the Tikwm
homepage.