naomba kuuliza ile siagi ya kimbo unatumia Kwa icing sugar tuu ?
2025-06-27 17:19:58
1
Ms hotness 🌹🥰 :
naweza tumia butter badala ya tilly
2026-03-23 16:08:53
0
fifi pastries :
somo zuri asante sana ila nna swali
je kwa keki za rangi ukitia prestige tupu inayayuka haraka kwnye joto, nmeona untkw uchanganye na vegetable shortening iwe 50/50, je hii ratio ipo sawa?
na pia naomba utengeze video jinsi ya kutengeza icing ya rangi zilokolea
Asante sana dada ubarikiwe🙏🙏🙏
2026-05-21 08:25:57
0
being ayesha🌸 :
Hayo mafuta yanaweza kuwa samli au
2025-06-27 15:00:00
1
juliethzephania :
uko Mwanza sehemu gan dear
2025-06-27 12:04:39
0
_Nady❤️ :
Shukran dear mungu akubariki
2025-10-13 19:33:43
1
vivah :
sasa dada ukitaka kupamba coat ya kwanza, unaongeza maji?
2025-08-21 07:52:37
1
namisuna :
hivo vipimo kwa vya icing ulotengeza ni kwa kupambia kek ya robo au ya nusu kwamana naomba kujua ili nkitengeza isibakie icing na pia ikitokea kubakia unaweza kuhifadh vip ili ikae kwa mda bila kuchuja kuharibika
2025-10-12 05:22:04
0
itc•°cyher :
naomba kuuliza ni lazima kueka maji?
2025-10-03 08:38:11
0
fifi pastries :
dada naweza kutumia siagi ya kupima kwa ajili ya buttercream ya rangi ili ku save cost?
2026-05-21 08:19:36
1
Estar Moita :
Asantee sana
2025-09-17 13:29:11
0
Ester 💫⭐ :
Dear kujifinza cake decoration ni shiling ngapi kwa week moja?
2025-09-24 23:04:24
0
mummy deycute 🌹❤️💖 :
dada ni kama dk ngapi una piga
2025-09-28 10:41:38
0
Honest mother🫀 :
Mashaallah
2026-07-25 13:47:42
0
Happy :
hello,naweza tunza kwenye fridge ikibaki,?
2026-03-11 03:56:20
0
Dee_treats_cakes :
Asante sana kpz, nimefuata vipimo vyako imetoka vizuri soft sanaaa🙏🙏
2025-10-02 17:42:21
0
tahthina🥰 :
cake zangu haziumuki aziwi kubwa kabisa
2025-07-19 05:03:50
0
To see more videos from user @zamzemmy_deliciouscakes, please go to the Tikwm
homepage.