@cristonbrown7: maishan changamoto ni nyingi kupamban ni wajibu wa kila mmoj always kukataliwa ni hali ya kawaida so mda unaokataliwa jitahid kugeuz changamoto yako iwe ni fursa ya kukufany upambane ili kuwaonesha wanaokukataa kwamba dunia ni duara leo wao kesho wewe asante sanaa..........