@neloconstruction: HII NI NYUMBA YA VYUMBA 3 CHINI UPANDE WA CHINI INA DINING,SEBULE NA JIKO NA UPANDE WA JUU INA VYUMBA 2 VYA KULALA VYOTE MASTER BEDROOM VYENYE MASTER SUITE NDANI,CHOO NA BAFU YA MVUA VIPO SEPARATE.....BUDGET YAKE YA KUSIMAMISHA BOMA PEKE YAKE HADI KUPAUA MFUMO WA HIDDEN ROOF NI MILLIONI 25 NA KUMALIZA HADI FINISHING NI MILLIONI 50.........PIGA SIMU AU WHATSAPP 0745063 424 AU 0747 480 133 NB: OFISI YETU IPO MBEZI KARIBU NA NJIA NNE YA GOBA WATU WA MAANA KABISA #SWAHILI #NJOMBE #IRINGA #MOROGORO #SHINYANGA #TABORA #mbeyatiktok🤣🤣 #MBEYA #tangatiktoklover #mwanzatiktok #MWANZA #ARUSHA #RAMANI #kupaua #TILES #epoxyresin #EPOXY #TERAZO #JACKAL #BREAKING #STRAW #tanzaniatiktok #zanzibartiktok #dodomatanzania #epoxy #epoxyresin #simba #simbachallenge #bongeladada #ugandatiktok🇺🇬 #kenyatiktok #ujenzi #nyumba #ramani #apartment #airbnb #investment #dalali #drawings #architectural #goba #mbezi #mbezibeach #kimara #matosa #tegeta #kariakoo #sinza #mabibo #usariver #tengeru #moshono #kiserian #njiro #kisongo #himo #monduli #karatu #babati #mbuyuni #majiyachai #dunia #dira #goba #KIMARA #MBEZI #madale
Nikihitaj kami hii lakin ngaz iwe ndan inawezejana
2025-08-21 09:13:25
2
brain president :
hizo ngazi itapendeza zaidi zikiwa ndani kuko kuwa na mzunguko mrefu
1.kutoka sitting room kwenda master bed room
2. kupunguza gharama za renovation maana ngazi zikikaa nje baada muda itahitaji kufanyiwa renovation kwa sababu ya mvua na jua
3. mfano mvua inanyesha nitalazimika kuloa ndipo niende chumba cha juu au kutoka juu kuja sitting room
4.sababu za kiusalama zikiwa ndani inakuwa safe zaidi kuliko nje
NI MAONI TU WADAU .I appreciate
2025-06-27 13:22:45
26
Chifu Mwema :
makadirio ni million ngap mpka inaisha
2025-06-27 16:42:18
0
Tipical 47 :
kaka samahani hizo ni gharama za fundi tu au pamoja na vifaaaaa
2025-06-27 16:14:04
3
user4312612909506grant albet :
kazuri sana
ebu tuonyeshe kwa ndan
2025-07-10 09:49:25
2
kikomarz :
ko bedroom 2 duh!
2025-06-27 17:52:58
1
munnyadrian2 :
Hizo ngazi zikikaa ndani madhara yake ni gani?. Maana kutoka nje ndio upande juu inakuwa sio poa.
2025-07-20 20:41:06
1
Eli Usaka :
Na mbona haina public toilet..?
2025-06-28 09:29:41
2
Joseph Malya :
Raman sh ngap
2025-06-27 16:59:46
1
precious G :
Samahani kama ikiwa na vyumba 3 bei si inapungua?
2025-06-27 17:49:14
1
Rebeca fashiontz :
kana gharimu pesa ngapi guys nianze na mimi
2025-06-27 18:13:31
1
Hq :
50mil inaisha kabisa
2025-06-27 07:44:26
1
Nelo construction Co. Ltd :
UZURI WA HII NYUMBA INACHUKUA ENEO DOGO SANA YAANI SQUARE METER 90 TU
2025-06-27 04:31:11
3
Gotesh :
vyoo vya juu tafuta namna visipitishe mavi jikoni na dinning 🤣😂😂
2025-06-27 14:43:45
4
kingbai the great :
I go build this one
2025-06-27 22:37:54
1
Madam Feyee :
nyumba ya vyumba 12 maana nina ukoo😂
2025-07-19 12:04:56
1
STEVEN🦋 :
hii kwa bei ya m50 ni sawa maana hata bei za fundi humo humo
2025-06-27 18:46:18
1
Frank Rapha :
kupanda gorofani inabidi utoke nje???
2025-06-28 16:02:45
1
moonson :
na gari unajengewa
2025-06-29 12:25:27
2
ulimboka mwakingwe :
mi nahitaji raman
2025-06-27 18:26:43
1
kikohmachedajr :
bro sorry kwahyo ukitaka kwenda kupumzika lazima utoke nje au Kuna ngazi nyingine ndani...🙏🙏🙏
2025-07-22 09:06:58
0
Dickson Mtolela :
Ramani kali saaaana🔥🔥🔥
2025-07-06 07:18:04
0
Elizabeth John :
Mungu niongezeee zaidi niwekeze hili 🙏🙏
2025-07-17 04:58:23
0
Directo St Faustina✍️ :
vyumba vingapi hii
2025-07-30 17:07:34
0
MR.JAY.005 :
😔😔😔 one day
2025-06-27 14:41:59
0
To see more videos from user @neloconstruction, please go to the Tikwm
homepage.