@4ktronics_kariakoo: MTAALAM!KAMA UNATUMIA IPHONE NA HUNA HIZI APPS TANO BASI HIYO NI REMOTE SIO IPHONE #LaptopShopping #TechTanzania #KariakooTech #JuaKablaUnunue

4KTRONICS|WAUZAJI WA LAPTOPS
4KTRONICS|WAUZAJI WA LAPTOPS
Open In TikTok:
Region: TZ
Friday 27 June 2025 15:07:28 GMT
230259
9339
288
1986

Music

Download

Comments

officiallycandy95
Martha Abel :
Watumia remote njooni 😭😭🤣🤣
2025-06-29 05:58:03
139
topper_330_
Topper 330 :
Black hole ina too much ads ninge pendekeza watu watumia telegram bots
2025-06-29 11:39:50
8
radiographer_noah
Radiographer Noah :
BLACKHOLE ni unyama mno🙌🏾
2025-10-17 18:28:58
7
bakenny3
Ba Ken :
Acha uongo bas mbona hiyo pipifier inataka kulipiwa kwanza😂
2025-06-29 10:44:21
14
dushyantsavania
Space Ice :
Hâta Techno zipo hizo app wenye remote mtakoma😂😂😂
2025-07-01 02:52:07
1
kondeissa21
Mr Facts 256 :
Massive bro 🙏
2025-06-29 20:46:01
1
user46396216153626
user46396216153626 :
Kwa taarifa yako hakuna App ya bure kwenye iPhone 📲
2025-07-07 08:08:45
5
juju_nics
Jujunics❄️ :
OMG nimeipenda blackhole🥰🥰🥰 thank yoi🔥🔥🔥🔥
2025-07-06 10:57:09
1
jamesjona4
Jamesjons :
Mnafany topup
2025-07-05 18:57:31
1
winnie_divine
Winnie_divine✨ :
Bro asante sna umeniokoa sana 🙌🙌
2025-07-04 22:02:18
1
silvah.classic
Silvah Brand :
Mavitu mengi ivo bora to nitumie remote yangu
2025-07-02 15:04:51
1
deanpaul44
deanpaul44 :
Mm remote yangu juzi imeanguka na haina ata mwezi tangu niinunue 😂😂
2025-07-07 13:03:46
2
titi.the.barber
TITI THE BARBER :
Moja ilinibamba bro 👌
2025-06-30 05:13:17
1
meccah_bucci
meccah_bucci :
Nipo na furaha zaidi nikiwa na remote yangu iPhone 12promax🤔🤔
2025-06-29 21:12:18
20
amos_rh
Mr Rural Hunter :
Mwenye Remote kama mimi aje Tufundishane hapa kutumia Tv vizuri 📺
2025-06-30 07:09:43
17
makeupbybonny360_
Makeupbybonny_ :
Hiz app unalipia?
2025-06-29 10:01:54
1
kelvingenius
kelvingenius :
Yan kuna app hazina umuhimu kwa kila mtu msitupangie sio kila mtu no content creator, 😂 alafu app nyingine mnazipa mzigo tu simu, 😂😂
2025-06-29 15:47:12
18
user46396216153626
user46396216153626 :
Macho kama ndulele
2025-07-07 08:07:43
1
nenga_star
PONGWA_👽🍀 :
mshamba kumb😂
2025-06-29 19:46:39
0
motoz112
Mottoz01 :
👍ellim nzur
2025-06-29 10:54:40
1
babyanu19
Babyanu :
Hizi app mbila kulipia hazifanyi kazi labda kujaza tu simu pipifier inakuletea cup tea 😂😂😂
2025-06-30 03:24:49
1
djdaphertz
Daktariwazamu🩺🎧 :
niliipoteza hii video nimechukua moja tu nimerudi kuitafuta🤣🤣🤣
2025-07-12 17:07:55
0
pk_dastan
PikahLoVe :
Sawa, ila ndo uite rimonti?🥺
2025-06-30 05:00:52
1
mashukamtumbagrade01
mashukamtumbagrade01 :
Aya wale wa Infinix tunaskip tu shwaaaa😂🤣🤣🤣
2025-06-29 20:25:25
1
aghadady.1
AGHADADY :
Winga 😅
2025-09-10 09:45:29
0
To see more videos from user @4ktronics_kariakoo, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About