we inabidi urudi kwa jalala akufunze kwanza Cha kufanya tu usiwe na haraka ya kuhukumu jifunze kwanza ukisha pata elimu ujue waelekea wapi Sasa tatizo elimu ndogo zile za kusema nilimsikia fulan huyo fulan ndo nani kasomeshwe kwanza alafu urudi utamuelewa jalala
2025-07-17 08:48:03
4
Kifisi the king :
hivi unajua wakwanza kuwatuka maswahaba ungemjua ungeach kupig fujo
2025-07-01 21:17:45
1
Tufaoj_09💦💫 :
🙏🙏🙏
2026-06-17 12:40:56
0
Aflaatuun SoQraat :
kiki izoo.. ukiona mtu anafnya raddi kwa mashia huyo ujue hana kazi y kufanya.. anatka umaarufu kupitia mashia.. mashia mbona hawana muda kukaa na kufanya raddi wao wako busy na yao.. ndgu unapoteza muda wako mashia wataendelea kuwepo mpka kiama fanya mambo yako ya msingi wa ila utakuwa unaumia kila siku ukiona mashia wanazidi kuongezeka.. poleee 😁😁😀😂
2025-06-28 02:16:30
20
vellah :
ili ujipime kua unae elimu lazima ujibizane na mashia hii inaonesha mashia ndio wenye elimu
2025-06-29 05:14:37
12
Abidau yasin :
tumekuwa na uelewa sasa mawahabi ndiyo waovu zaidi
2025-06-27 19:11:31
7
Beka title :
watu wenye elimu huw hawaelimishi watu kwa kuwa sema vibaya iyo siyo elmu shekh
2025-07-10 13:33:12
2
shabani Ramadhani :
tatizo wew mshia una sapoti ulawiti
2025-07-15 13:28:38
2
kkimhang Mohammed :
🤣🤣🤣mtabakia ivyo tu ila ushia unapaa na kuenea maana sikuzote ukijishughulisha na yamwenzako basi yako yatakupita.
2025-07-14 09:26:39
2
RashidKarata :
mbona hamna majibu hapo.? 😅
2025-06-27 18:15:52
2
Bef.tz :
sahivi watu wanaelimu acheni kuwapotosha
tulipofikia sio wakati wa kuwadanganya watu wa clip ndogo ndogo
sisi tuna akili na tunafuatilia mambo
2025-07-05 08:54:42
2
wilbertmakundi :
washia ndio waoslam hao wengine wanafiki tu
2025-07-02 14:42:14
2
Hatib Kondo :
لبيك يا حسين
لبيك يا حسين
لبيك يا حسين
2025-06-29 17:30:32
2
Smart Boy :
mm nilipo soma caption at jalala ajibiw kielimu ,nikajiweka vizuri nipate elimu kumbe nimepoteza muda kusikiliza clip zako huna elimu hata ya msitari mmoja wa maneno uliyo ongea wewe mwenyewe ,huwezi kujadili mada angali hujui mada jua kwanza neno Shia ukielewa njoo anzisha mjadala
2025-07-07 13:09:08
1
projest :
Ni hao hao shekh kumbe shia lenyewe mtume kalitamka mwenyewe,,. Alafu hayo maneno ya Ally umeyatoa wapi
2025-06-27 19:57:14
1
user8130742815872 :
kwanza ujalala mxhenz anawafundixha watu kuwaingilia wakezao kinyume namaumbilee
siku ya mwezi kumi muharram si siku ya kula na kunywa na kuhuzunika kifo cha hussein ila ni siku ya kufunga siku ya Aashuraa hayo ndo mafunzo ya mtume Muhammad Sala na Salam ziwe juu yake
2025-06-29 08:43:21
1
Palestine🇵🇸🇹🇿 :
we unaetoa watu kwenye ushia uwapekeke wapi kumbe watu wengine hawajielewi na elimu yao ni ujinga mtupu
2025-07-22 18:07:29
1
kass3mjunior190 :
allah waongoze haw
2025-07-24 08:31:35
1
FASBIR :
Allahumaswalli alaa Muhammad wa Ali Muhammad
2025-07-11 11:52:54
1
AMOUR KHAMIS :
Jalala huna jema ni kafiri, mambo mema kuwafira wake zenu?
2025-07-10 13:35:01
1
HEMEDI AMRI :
waislam pamoja na wapenda amani wapo busy kumuondoa mzayuni duniani lakini sunni ndio kambeba mgongoni kabisa 😂😂😂😂😂😂😂
2025-07-06 03:41:05
1
politoniosantos :
Acha kupotosha watu wewe na itikadi mbovu
2025-07-05 13:18:03
1
Kondo Lukari :
soma surati bakala enyi baniisraila mnazibadilisha aya kwasamani ndogo kabisa sasa wewe unashangaa nini
2025-06-29 05:40:26
1
Boss Kuvi :
jalala anafahamu ila njaa tu jamani tumuombee aogoke awe muisilamu
2025-07-04 10:42:53
1
fredrick..gitonga1 :
nafsi ya Muhammad iko chini ya mamlaka ya yesu kristo, maneno ya Quran hayo mkubali mkatae iko ivo
2025-06-30 08:13:26
1
ZZZ2 :
quran ishaeleza yote yanayu wafika mashiya leo hii kwaihiyo yoyote atakaye watukana mashiya nikama anatimiza maandiko kwahiyo kama shiya sema swadakt